Arsenal yaondolewa rasmi kwenye mbio za ubingwa EPL

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
75,996
2,000
Timu mbovu ya Arsenal leo imeondolewa rasmi kwenye mbio za ubingwa baada ya kuchapwa na Manchester city mabao 2-1 ugenini .

Huu ni uthibitsho mwingine kwamba ngoma ya watoto haikeshi .

Ni mambo ya aibu sana ! Kuumia kwa mchezaji mmoja tu aitwaye Mustafi timu imekongoroka !

Poleni washabiki wa timu hii.
 

Isanga family

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
7,287
2,000
Arsenal huwa wanataka nafasi ya Nne ili wacheze UEFA na huko hatua hii ndio wanatoka wapo na Munich tena! wanafata hela tuu za kushinda makundi na si ubingwa kwa Litimu Libovu kama Lile...
 

made

JF-Expert Member
Jun 29, 2010
816
500
Usipoenda chooni asbh hayo ndo matatizo yake maana sasa wawaza kwa kutumia mkia.....!ukiitoa Arsenal ktk mbio za ubingwa itabidi uitangazwe Chelsea bingwa leo hii.....
 

fablo can

JF-Expert Member
May 25, 2016
1,224
2,000
Bado tupo kwenye mbio za ubingwa. Next gem tunamchapa west brom 6 bila. Khe kheeee keeeeeeeee natania tu
 

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
75,996
2,000
Arsenal huwa wanataka nafasi ya Nne ili wacheze UEFA na huko hatua hii ndio wanatoka wapo na Munich tena! wanafata hela tuu za kushinda makundi na si ubingwa kwa Litimu Libovu kama Lile...
Safari hii wakiwemo kwenye top 4 najiuzulu ukocha , na kama arsenal wakicheza ligi ya mabingwa mwakani itakuwa kashfa kubwa kwa ligi ya uingereza , hii timu ni mbovu kabisa .
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom