Simba waichapa maji maji bila huruma

Joselela

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
5,919
7,624
Baada ya dhuruma waliofanyiwa simba kucgezeshwa kwenye uwanja wa ovyo na mtibwa,leo hii wameicharaza maji maji ya mjini songea goli 3-0 na mpira umemalizika!

Ahsante simba
Kombe msimbazi msimu huu.!
 
Sema wameichania noti maji maji....eheeee si ndiyo zenu nyie kutembeza Mpesa wapinzani wenu!
 
Yanga ndio mabingwa wa kucheza Na fedha Kanji ndio zake
IMG_20170204_180350.jpg
IMG_20170204_180350.jpg
 
Eti nasikia mvua zimeanza kunyesha huko mikoani watu wanadai kisa yanga anaongoza ligi na wanaomba aendelee kukaa huko huko
Kileleni
 
Mpira wa bongo bana yaani golikipa wa majimaji unajua kabisa kala kitu yule kule ni kutaka vip vile mtu kama kabeti
 
Njaa na kilimo hiki kinachosuasua kinawafanya hawa wangoni wenzangu wageuze mechi biashara. Hakuna namna.
 
Eti wangoni wametuuzia mechi! Acheni dharau Yanga. Majimaji wamecheza vizuri zaidi ya simba,hasa kwa possession ya 53%.Shida yao beki ilikuwa inapoteana.Simba kashinda kwa mbinu tu na si kubebwa kama nyinyi mliosababisha refa kuondolewa kwa kuwabeba.Hata kama mchukue huo ubingwa bado mtaendelea kugawa point huko nje maana uwezo wa kushindana kwa haki hamna.
 
Mimi.BAHATI mbaya sina mahusiano na mashoga Kama wewe wahi kutafuta riziki

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Haya umeshinda wewe usie shoga kudandia mambo yasiyokuhusu utakalia kidole tusiharibiane siku kama comment haikukukalia vizur ungepita kama wengne wanavyopita coz hakuna aliekutag wala kukutaka upite hapo huo ni usenge wa hali ya chin
 
Back
Top Bottom