Geechie
JF-Expert Member
- Oct 26, 2015
- 977
- 761
Vipi Leo wale wachambuzi wetu wachumia tumbo mmoja king wa Insta anatangaza radio moja inayoongea ongea sana mwingine king wa Facebook aliepata deal kuchambua kiswazi huko, ambao huwa wanaona Arsenal tu akiliwa vipi kuhusu chama lao ambalo linastruggle zaidi ya miezi mitatu halijatoka namba sita kama limewekewa gundi.
Watakuwa wamepost nini baada ya droo yao na Hull City maana ushindi wa Watford uliwatoa povu saaana.
Watakuwa wamepost nini baada ya droo yao na Hull City maana ushindi wa Watford uliwatoa povu saaana.