Simba sports vs Majimaji, Songea leo tarehe 4.2.2017

Kansigo

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
2,670
2,156
karibuni mwenye update arushe

Simba imeshinda mechi hiyo kwa magoli matatu kwa bila

===========

Full Time : Majimaji 0 - Simba 3

88' Laudit Mavugo anafunga goli la 3

63' Said Ndemla anaifungia Simba goli la 2

Kipindi cha pili kinaanza sasa

Mapumziko sasa: Majimaji 0 - Simba 1

19' Salum Migomba anaipatia Simba goli la kwanza

10' Bado mpaka sasa hamna timu iliyouona mlango wa mwenzake

Mpira umeanza sasa
 
Uwanja mbovu sana asee..mpira hauna hata radha ya kuangalia..
 
Back
Top Bottom