Barcelona imeichanachana PSG kwa kuizaba mabao 6-1 na hivyo kusonga robo fainali kwa mabao 6-5. Katika mchezo wa kwanza,Barca walizabwa mabao 4-0
Barcelona imeweka rekodi mpya kwenye michuano ya...
1.Liverpool Vs Ac Milan(2005)
hii ilikua fainali ya UEFA CUP Ac Milan Akiwa mbele kwa goli 3 magoli ya Paulo maldin,Na Crespo goli 2 Liverpool anakomboa yote kupitia Gerrad,Xabi alonso na Vladrmir...
Ni tofauti sana na Mashabiki wa Yanga SC,
Mashabiki wa Matopeni imegundulika kuwa (Kulingana na tafiti zisizo rasmi) hawana uhakika wa zaidi ya Asilimia 50% kuwa Klabu yao inaweza kuwa Bingwa...
Arsenal mnashika bunduki za nini kupambana na Wajerumani? Babu yangu Mkwawa aliwapiga Wajerumani kwa pinde na mishale.
Arsenal nimewakosea nini Leo mnaenda kujipigisha magoli matano kwa...
KRC Genk imejiweka kwenye nafasi nzuri ya kufuzu kuingia robo fainali ya kombe la Europa baada ya kuishinda AA Gent kwa magoli matano kwa mawili
Timu hizo zitacheza mechi ya marudiano...
Uwanja huu unaotumika katika mchezo wa leo wa Europa kati ya manchester united vs Fc Rostov ni uwanja mbovu kuwahi kushuhudia ukitumika kwenye michezo hii mikubwa barani ulaya jana nilisoma habari...
USHAURI WA AKIBA KWA OMOG.
Ubora wako ulithibitika toka ulivyokuja Tanzania pindi ulipokuwa unakinoa kikosi cha Azam(wana ramba ramba) na sasa bado unauthibitishia umma wa simba kwamba wewe sio wa...
Kwema waungwana.
Nimekuwa najiuliza bila mafanikio yeyote kuhusu hii ligi ya VPL, Kwanza naomba kufahamu ni kiasi gani mshindi wa ligi ya vodacom anapewa pale anapotwaa taji hilo.
Gharama ambazo...
MECHI ZA LEO:
Arsenal Vs Bayern Munich
Napoli Vs Real Madrid
MECHI ZA KESHO:
Barcelona Vs PSG
Borussia Dortmund Vs Benfica
Hatua ya mtoano ya 16 bora katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, kuendelea leo...
Kwanza kabisa, hamna timu ya mpira siipendi kama barca kwenye hii dunia!! Barca wametoka kwenye 4 bila mpaka kuvuka 16 bora kitu ambacho wengi wetu tulijua ndio mwisho wa barca!!
PSG waliingia...
Habari Jf
Hakika timu za england zinatakiwa kujifunza sana kutoka kwa timu za Spain mana walichoshindwa kukifanya arsenal ndicho walichoweza kukifanya barca,walicheza kwa hari na lengo moja...
wakuu kama mnavyojua ligi kubwa na yenye mvuto katika virabu ni ile ya klabu bingwa barani ulaya inayoendelea kwa sasa je ni Timu unaitabiria itachukua ubingwa itakuwa real Madrid tena? au Timu...
Hatimae ratiba ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) imetoka. Bingwa mtarajiwa wa michuano hii TIMU ya Simba SC atamenyana na Madini FC ya...
Jambo la kushangazi limeibuka laeo katika mchezo wa Yanga na kiluvya ambapo chirwa amefunga goli nne peke yake na kuonekana kama ni mshambuliaji hatari sana katika nchi hii ya Tanzania nikaja...