Bernard bakari
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 407
- 781
Uwanja huu unaotumika katika mchezo wa leo wa Europa kati ya manchester united vs Fc Rostov ni uwanja mbovu kuwahi kushuhudia ukitumika kwenye michezo hii mikubwa barani ulaya jana nilisoma habari za man united nikaona jose mourinho aliwapigia Maofisa wa Uefa kuwaomba mchezo uairishwe lakini wakakataa lakini ninavyouona ni uwanja mbovu sana bora hata uwanja wa manungu wa morogoro