Chriss Eubank Jr. Mkali wa masumbwi.

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
8,409
14,971
Ni Mwingereza aliyezaliwa 1989. Kapigana mapambano 24, kashinda 23, 19 kashinda kwa KO, kapoteza 1. Jamaa ni mkali kweli kweli. Anapiga upper cut za ajabu. Anajua kukwepa, anashambulia kuanzia mwanzo hadi mwisho. Kwa kifupi wapinzani wake wengi wanaonyesha hofu wanapokutana naye

Kina Floyd Mywether jr, Roslov na Man paquaio na wengine sidhani kama watauweza huu mziki. Jamaa anapigana kwenye uzito wa middleweight na super middleweight. Ana makonde makali, stamina.
 
6f7f2fe705775c501dbf4d98d451ae54.jpg
 
Back
Top Bottom