Arsenal wapigwa 10-2

Nenda tuu hama ..wala hujawai kua shabiki wa gunners wewe..
 
Yani katika mameneger wenye roho ya ngumu nadhani hata shetani akisikia jina lake tu anatimua vumbi, basi atakuwa ni Wenger.
 

tumesubiri sana hatimaye second leg limechezwa leo na mtoto amekaa tena
arsenal ameamizwa tano kama mwanzo.
naona arsenal ana record mbaya ya kufungwa na bayern na hizi ni baadhi ya jamvi zilizopo hapa JF
Klik link hiyo juu kutazama magoli yote 5
 

Attachments

  • Capture.PNG
    Capture.PNG
    6.4 KB · Views: 34
Taarifa za chinichini zinadokeza kwamba kumbe Arsenal ni mali ya Wenger , kauziwa tangu msimu uliopita .
 
Mimi ni shabiki mkubwa wa Arsenal, kiukweli nilitaka tupigwe hata 20-2 ili huyu mzee afukuzwe Arsenal, kwa magoli hayo kumi najua sasa lazima atafukuzwa tu, maana huyu mzee alizidi sana na uchumi wake, hata wachezaji wamekwisha mchoka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom