bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,321
- 4,671
1.Liverpool Vs Ac Milan(2005)
hii ilikua fainali ya UEFA CUP Ac Milan Akiwa mbele kwa goli 3 magoli ya Paulo maldin,Na Crespo goli 2 Liverpool anakomboa yote kupitia Gerrad,Xabi alonso na Vladrmir Smicer, na mwishowe liverpool anabeba kombe Kwa Kushinda mikwaju ya penalti baada ya Pirlo&Shevchenko kukosa penalti zao
2&Barcelona Vs PSG(2017)
Hii itakuwa histori ya 2017 PSG Akiwa na mtaji wa Goli 4 bila majibu aliyopata pale Ufaransa anaenda Pale Hispania na kula Mikwaju 6 ya nguvu kwa 1 na hatimaye kutupwa nje 16 bora ya UEFA
3.DEPORTIVO LA CORUNA VS Ac Milan(2004)
Ac Milan anakua na bahati Mbaya tena baada ya kuwa bingwa mtetezi UEFA CUP na kushinda game ya game goli 4 kwa 1 game ya marudio naye anachapwa goli 4 bila majibu na kuvurumishwa nje ya UEFA cup
4.Man utd vS Bayern Munich(1999)
Game ya kukumbukwa hii baada ya Bayern Munich kuongoza kwa goli 1 muda mrefu Kupitia Teddy Sheringham na Ole Gunnar Man Utd wanapita magoli 2 ya jioni na kubeba Ndoo ya UEFA.
5.Reading Vs Arsenal
baada ya Reading kuongoza goli 4 Kwa muda mrefu Arsenal anachomoa yote na Kufunga Jumla ya goli 7 kwa 5 ya Reading baada ya muda wa ziada hii ilikua kombe la Capital One.
6.NEWCATLE Vs Arsenal
Baada ya kuongoza goli 4 kwa muda mrefu Newcatle Anasawazisha yote baada ya Diaby kupewa red card na Tiote akifunga goli la mwisho la kusawazisha.
MPIRA UNA MAAJABU YAKE WAKATI MWINGINE TUTAJADILI KWA LIGI YA BONGO MFALME WA KUTOKA NYUMA NA KUSAWAZISHA AU KUSHINDA.