DonDonald
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,530
- 2,708
KRC Genk imejiweka kwenye nafasi nzuri ya kufuzu kuingia robo fainali ya kombe la Europa baada ya kuishinda AA Gent kwa magoli matano kwa mawili
Timu hizo zitacheza mechi ya marudiano itakayofanyika katika uwanja wa KRC Genk ambapo mshindi wa jumla wa mechi hizo atafuzu kucheza robo fainali ya kombe hilo
Ushindi huo wa Genk ulipatikana ugenini, katika mechi hicho Mtanzania Mbwana Samatta alifunga magoli mawili
Mpira umekwisha Gent 2 - Genk 5
84' Esiti wa Gent amepata kadi nyekundu
74' Gent 2 - Genk 5
72' Genk wanapata goli la 5, mfungaji Samatta
Gent wamekosa penalty, kipa ameokoa
62' Gent wanapata penalty
60' Gent 2 - Genk 4
Kipindi cha pili kimeanza
Half Time: Gent 1 - Genk 4
44' Genk wanafunga goli la 4
Leo ni mechi kati ya watani hawa wa jadi kati ya AA Gent dhidi ya KRC Genk
Mpaka sasa dakika ya 42 Gent 1 - Genk 3
Mtanzania Samatta akiwa amefunga goli moja na la tatu kwa Genk ambao wanacheza ugenini katika mechi ya kwanza
Viva Samatta Viva Tanzania