Bernard bakari
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 407
- 781
Jambo la kushangazi limeibuka laeo katika mchezo wa Yanga na kiluvya ambapo chirwa amefunga goli nne peke yake na kuonekana kama ni mshambuliaji hatari sana katika nchi hii ya Tanzania nikaja kukumbuka kuwa kumbe kawafunga kiluvya matokeo ya jumla Yanga Ameshinda 6 DHIDI ya goli moja la kiluvya mchezo uliochezwa uwanja wa uhuru ngoja tusubiri ushambuliaji wa chirwa dhidi ya Azam Fc