sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Hatimae ratiba ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) imetoka. Bingwa mtarajiwa wa michuano hii TIMU ya Simba SC atamenyana na Madini FC ya Arusha katika Robo Fainali.
Mtanange huu utachezwa mnamo Machi 18, mwaka huu katika dimba la Sheikh Amri Abeid mjini Arusha.
Ratiba ya mechi zingine ni kama ifuatavyo;
Kabla ya kupangwa ratiba hii... niliwahi kupeleka ombi hili TFF.
Japo TFF wamekaidi ombi langu.. Bado kuna nusu fainali na fainali.. naamini hao jamaa hawataweza kutukwepa na huko.. dozi zao zipo pale pale.

OMBI LANGU KWA TFF:
1. Kama Ndala wakifanikiwa kutinga hatua ya robo fainali.. Japo ni ngumu.. Tafaaaaadhali tupatieni sisi "tuwashugulikie" tumewamisi.. maana ni muda sana.
2. Kama ikiwa ngumu kwa Ndala.. maana watatolewa tu na Kiluvya.. Mtupatie Azam.. Huyu tunamhitaji sana kabla msimu huu haujaisha.. Haiwezekani 'amshike sharubu' Mnyama alafu tumuangalie tu.. TFF tupeni huyu.
Japo TFF wamekaidi ombi langu.. Bado kuna nusu fainali na fainali.. naamini hao jamaa hawataweza kutukwepa na huko.. dozi zao zipo pale pale.