Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,227
- 157,425
Arsenal mnashika bunduki za nini kupambana na Wajerumani? Babu yangu Mkwawa aliwapiga Wajerumani kwa pinde na mishale.
Arsenal nimewakosea nini Leo mnaenda kujipigisha magoli matano kwa Wajerumani.
Mnamdhalilisha babu yangu nyeee
Kuanzia Leo, narudi Kalenga nikapumzike na mizimu ya Kwetu.
Msinilaumu mimi kwa maamuzi magumu, mimlaumu kocha.