Uefa Champions League: Je Arsenal na Barca watapindua matokeo?

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
18,783
66,962
MECHI ZA LEO:
Arsenal Vs Bayern Munich
Napoli Vs Real Madrid​

MECHI ZA KESHO:
Barcelona Vs PSG
Borussia Dortmund Vs Benfica​

Hatua ya mtoano ya 16 bora katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, kuendelea leo ambapo Arsenal watakuwa nyumbani kuwakaribisha wajerumani Bayern Munich. Ikumbukwe mchezo wa kwanza Arsenal alipigwa 5-1 hivyo leo anahitaji ushindi wa goli 4-0 ili asonge mbele, Je mwalimu Arsene Wenger ataweza kugeuza matokeo na kupata ushindi wa 4-0 leo hasa wakichagizwa na advantage ya uwanja wa nyumbani?

Kesho pia kuna shughuli pale Nou Camp, ambapo Barcelona watakuwa wanahitaji ushindi wa goli 5-0 ili wasonge mbele, je wataweza kubadili matokeo dhidi ya PSG?

Karibu utupe mawazo yako.
 
Kila kitu katika soka kinawezekana. Dk 90 ndio mwamuzi au extra time au penalties. Kuna mechi mmoja wapo itatoa matokeo ya kushangaza.
C6UWqT4WgAA5RX2.jpg
 
Mpira dakika 90 kaka. Tusubiri tuone, kwangu Mimi lolote linaweza kutokea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom