Nani mwanzilishi wa hii staili ya DAB?

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,743
25,559
Habari zenu wanajamvi,
Nilikuwa nauliza nan mwanzilishi wa hizi staili maana wanatumia watu wengi mpaka watoto wa chekechea?

Asanteni

fd53d455d924c7168bb96b9b84f30765.jpg



2ef3159793608f67665734fb626e6dd9.jpg
 
Habari za usiku wana JF?
Nilikuwa naomba kama kuna mtu yeyote Anaoujua wimbo wa kwaito ambao unapigwa sana kwenye harusi na hata masherehe ambao kiitikio ni sauti ya kike inaitia
Nakupendaa aah
Nakupenda aaah

Kama kuna mtu anao naomba anitumie kama unaujua naomba unitajie jina la wimbo na jina la msanii.

Asanteni

Staili ya kipumbavu sana hii, naona rais wa nchi jirani naye huwa anatumia izo swag.
Nahisi ni Uhuru Kenyatta maana msela sana yule
 
Barca wanahonga hadi Aibu... duh sijapata ona penati za Ajabu na Goli la offside ya wazi linakubaliwa khah! Uchafu wa Uefa sasa umezidi.... dah
 
Back
Top Bottom