Ushahidi: Hakuna mshabiki wa Simba SC mwenye uhakika kuwa timu yao inaweza kuwa bingwa 2016/17

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,288
15,238
Ni tofauti sana na Mashabiki wa Yanga SC,

Mashabiki wa Matopeni imegundulika kuwa (Kulingana na tafiti zisizo rasmi) hawana uhakika wa zaidi ya Asilimia 50% kuwa Klabu yao inaweza kuwa Bingwa msimu wa 2016/17.

Tulidhani kuwa ni sisi tu mashabiki wa Yanga ambao tunadhani hivyo. Kumbe hata wao wanalijua hilo. Ukikutana na Mashabiki wa matopeni , machoni mwao wanaonyesha tofauti na kile kilicho ndani ya mioyo yao.

[L]HIZI NI BAADHI YA KOMENTI ZAO AMBAZO KISAIKOLOJIA ZINAAKISI KILE KISEMWACHO KWENYE KICHWA CHA UZI HUU[/L]:-

"Tatizo wachezaji wetu kumfunga yanga tu, wameshajiona mabingwa.. Tukiendelea hv ubingwa tutausikia tu na kuuota,.. Pia Viongozi maneno ya kujigamba yamezidi kimya saa nyingine ni busara."

"Dah kwaio inamaana hawa wapinzani kesho wakishinda tutakua sawa pointi sisi na wao mmh,,wachezaji ndugu ss tunaumia zaidi hebu jipindeni kwa dhati na mjidhatiti angalau na sie msimu huu tu ngurume simba"

" Mavugo sio kaliba ya mchezaji wa kuichezea simba... tunadanganyana tu..."

" Tatizo viongozi mnajisahau sana,mnazipa uzito baadhi ya mechi na nyingine mnazichukulia kawaida, hatutafikia malengo kwa staili hii."

" Nilijua gem lazima itakua ngumu simba tulipania sana mpaka tukatoka mchezoni"

" wala hatujafanya vibaya,haya ni matokeo ambayo viwanjani yapo.(TUANGALIE MECHI 6 ZIJAZO)."

"Mnajua nyie viongoz na bench la ufundi mnazigua kwa nn unafanya mzaha kwenye kikosi mnajua beki hakuna alafu mzingua toeni mtu hapo weka juko"

"Dah angalau maana hapa nilikua sina roho,ila ingawa tumegawa point ckm kupoteza kbsa cha msingi tuwaombee vjna wetu waweze kutupa ushindi mechi zilizo mbele yetu"

" Yani afadhali kutoa salekuliko kufugwa tumshukulu mungu kwayote kidogo tutakua na amani maana jamaazetu walishaaza kuchonga".

-Hawa Jamaa wanao jiita Mabingwa watarajiwa wa VPL msimu wa 2016/17 wana kazi kubwa sana. Licha ya kumfunga Yanga SC bado uko naye sawa ki alama.

-Bado hawajacheza na Africa Lyon, ToTo Africa, Mbao (huko kanda ya ziwa). Tuseme ukweli tu, sioni wakifika mahala popote.

Najua ukweli wanaujua ila ni vigumu sana kuuonyesha mbele ya watani zao Yanga SC.


imgres.jpg
 
Mkuu ili ligi iwe ligi tamu ni vema kila timu isiwe na uhakika kama ilivyo sasa, vinginevyo kitakachofanyika ni hujuma dhidi ya mchezo soka. Maslahi ya mchezo wa soka ni muhimu zaidi kuliko ubingwa wa simba au yanga
 
Yanga bado mechi mbili za ubingwa.Mtibwa na Azam...ila Simba msimu huu wameleta changamoto
 
Yanga bado mechi mbili za ubingwa.Mtibwa na Azam...ila Simba msimu huu wameleta changamoto

Mkuu hao Mtibwa usiwahesabie kabisa.........labda azam fc.....

hata hao azam fc hawawezi kutuotea kwa mara nyingine.....ikiwa wao hawana cha kugombania kwenye ligi.

kiujumla sioni changamoto yeyote mbele yetu...
 
Mkuu ili ligi iwe ligi tamu ni vema kila timu isiwe na uhakika kama ilivyo sasa, vinginevyo kitakachofanyika ni hujuma dhidi ya mchezo soka. Maslahi ya mchezo wa soka ni muhimu zaidi kuliko ubingwa wa simba au yanga


Mkuu kutokuwa na uhakika wa kuwa bingwa la VPL ni msamiati wa wale watu wa Matopeni mtaa wa msimbazi...

Sisi tumesema UBINGWA lazima msimu huu..
 
Mkuu kutokuwa na uhakika wa kuwa bingwa la VPL ni msamiati wa wale watu wa Matopeni mtaa wa msimbazi...

Sisi tumesema UBINGWA lazima msimu huu..
Ulazima wako hauonyeshi mapenzi ya soka, unachotaka ni ubingwa bila kujali kuwa umehonga au kufanya hujuma nyinginezo. kama ni hivyo endeeleni mtaupata
 
Ulazima wako hauonyeshi mapenzi ya soka, unachotaka ni ubingwa bila kujali kuwa umehonga au kufanya hujuma nyinginezo. kama ni hivyo endeeleni mtaupata

Hapo ndipo mashabiki wa simba mnapokosea...


yanga akionyesha nia ya kupania kutaka kuwa bingwa basi anahonga...Ila simba akionyesha nia ya kutaka kuwa bingwa basi anajua.

huwa siwaelewi sana kwa hapo....

juzi mlikuwa mnashangilia Pluijm kufukuzwa na kudai kuwa yanga sasa imefilisika, Leo unasema yanga ni timu ya kupata ubingwa hata kwa njia ya kuhonga waamuzi..
 
Watu wengine Sijui Nani anawatuma Sasa Mimi nakuambia Hivi MSIMU HUU VPL BINGWA NI SIMBA SC

Ndio nyie hamchelewi kuanzisha uzi humu.........ohh "TFF wanaibeba Yanga, Ohhh Yanga wanahonga marefa, Ohhh nakadhalika"

lol.
 
Hapo ndipo mashabiki wa simba mnapokosea...


yanga akionyesha nia ya kupania kutaka kuwa bingwa basi anahonga...Ila simba akionyesha nia ya kutaka kuwa bingwa basi anajua.

huwa siwaelewi sana kwa hapo....

juzi mlikuwa mnashangilia Pluijm kufukuzwa na kudai kuwa yanga sasa imefilisika, Leo unasema yanga ni timu ya kupata ubingwa hata kwa njia ya kuhonga waamuzi..
Soma vizuri uelewe, comment zangu hakuna hata moja yenye ushabiki.nimekwambia kwenye ligi hakuna cha ulazima wa kupata ubingwa labda kama unania mbaya na mchezo wa soka. utasemaje lazima uwe bingwa wakati timu zaidi ya 3 zina nafasi. hata hivyo dalili za kununua ushindi kwenye ligi ni zile mechi 2 za mwanzo za kimataifa mnagongwa mnarudi home!! maana huko refa wa kukupa goli la magumash hayupo
 

Ndio nyie hamchelewi kuanzisha uzi humu.........ohh "TFF wanaibeba Yanga, Ohhh Yanga wanahonga marefa, Ohhh nakadhalika"

lol.
Sikiliza Ww Demigod Simba SC ni Zaidi ya uijuavyo Msimu huu Imejipanga kila idara tatizo lipo kwenu huko kwa Wauza Ngada Kutoka kula kempiski hadi kwa Mama ntilie
Pumaaaaffuuu!!!!!
 
Back
Top Bottom