EPL jifunzeni kutoka kwa la liga giants

Bob12

JF-Expert Member
Feb 27, 2017
11,422
58,788
Habari Jf
Hakika timu za england zinatakiwa kujifunza sana kutoka kwa timu za Spain mana walichoshindwa kukifanya arsenal ndicho walichoweza kukifanya barca,walicheza kwa hari na lengo moja tofauti na arsenal ambao walikua kituko.

Uko wapi ubora wa timu za england ambao washabiki wake wanajisifu kila siku?
 
Ndio maana mie nilishaacha ujinga wa kushabikia vitimu vya Epl, kitu Laliga na Bundesliga ndio mpira ulipo!
Kuanzia 2005-2012 nilikua nawaelewa sana EPL kwenye CL mana kila fainali unawakuta,robo final unakuta wapo wa 4,ile Liverpool ya mauaji,the blues,man u sijui zimeingiwa na pepo gani
 
Unamaanisha Arsenal....
Timu za EPL zinazocheza CL hazifanyi vzr na ikitokea zina kutana either na bayern,barca au Madrid probability ya kupenya ni ndogo sana,ukisema we ni bora wapige waliobora
 
Sijawahi kuamini kuwa EPL ni bora hapa dunian. Kama ni bora ubora uko wapi?
 
Upo sahihi,EPL ni maarufu ila kwa ubora wa timu Spain na Ujerumani wanawatangulia.
Timu za EPL zinazocheza CL hazifanyi vzr na ikitokea zina kutana either na bayern,barca au Madrid probability ya kupenya ni ndogo sana,ukisema we ni bora wapige waliobora
 
Upo sahihi,EPL ni maarufu ila kwa ubora wa timu Spain na Ujerumani wanawatangulia.
Maneno mengi magazetini na sky sports,wakijifanya wana wachambuzi mahiri duniani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom