Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,278
- 25,846
Barcelona imeichanachana PSG kwa kuizaba mabao 6-1 na hivyo kusonga robo fainali kwa mabao 6-5. Katika mchezo wa kwanza,Barca walizabwa mabao 4-0
Barcelona imeweka rekodi mpya kwenye michuano ya Mabingwa Ulaya kwa kuwa timu ya kwanza kupindua matokeo ya tofauti ya mabao 4.
Premier League mko wapi muige upambanaji wa La Liga giants?