Uchaguzi mkuu TFF, wangapi wangependa Malinzi arudi?

makalango

JF-Expert Member
Feb 10, 2017
448
252
Kamati tendaji ya Tff imetangaza kuwa uchaguzi mkuu utafanyika jumapili tarehe 12/08/2017 ambapo uchaguzi huo utakuwa kuwachagua rais wa shiriko la mpira wa miguu Tanzania Tff na makamu rais wa Tff pamoja na kamati tendaji. Chanzo salehe jembe.

Swali langu:wangapi humu wangependa Jamali Malinzi achaguliwe kuwa rais wa Tff tena?
 
Hafai kabisa, bora Tenga angepewa hata bila kura kuliko huyu aliyetushushia mpira wetu bila haya.
 
Back
Top Bottom