kavulata JF-Expert Member Aug 2, 2012 13,423 13,935 Apr 7, 2017 #1 Pamoja na kuwa na rangi ya bendera yetu lakini sehemu kumbwa ya jezi zao zingeonyesha utalii wa Serengeti ili kumaanisha jina la timu.
Pamoja na kuwa na rangi ya bendera yetu lakini sehemu kumbwa ya jezi zao zingeonyesha utalii wa Serengeti ili kumaanisha jina la timu.
NAKEMBETWA JF-Expert Member Apr 20, 2012 3,517 3,133 Apr 7, 2017 #6 Hata rangi ya fisi ipo poa tu mbona?
Fstborn JF-Expert Member Nov 27, 2016 507 527 Apr 7, 2017 #7 Guava said: Ranginya chui ipo poa sana Click to expand... Ya chui mzuka!
kavulata JF-Expert Member Aug 2, 2012 13,423 13,935 Apr 10, 2017 Thread starter #8 Fstborn said: Ya chui mzuka! Click to expand... hata ya antelope inafaa tu, ilimladi ionekane tunajali mbuga yetu hiyo ya serengeti
Fstborn said: Ya chui mzuka! Click to expand... hata ya antelope inafaa tu, ilimladi ionekane tunajali mbuga yetu hiyo ya serengeti
Askari Muoga JF-Expert Member Oct 22, 2015 6,113 4,655 Apr 10, 2017 #9 mm nashauri waweke kichwa cha mwenda wazimu