The UnderTaker astaafu mieleka baada ya kupoteza pambano dhidi ya Reigns

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
6,042
10,787
Under Taker ni mmoja kati ya wanamieleka bora kuwahi kutokea katika WWE akiwa ameshawahi kubeba karibia mikanda yote ya mchezo huo, huku pambano lake la kwanza ikiwa mwaka 1984.
nadhani shabiki wake Return Of Undertaker keshaipata habari hii

Undertaker-In-Coffin.jpg
 
Lilianza saa ngapi?
Leo ilikuwa ni wrestlemania 33 imeanza saa nane usiku, pambano la ufunguzi lilikuwa kati ya Neville vs Austin na king of cruiserweight nevile ameuretein mkanda wake mpambano ulikuwa sio wa kitoto, na mapambano mengine mengi yalifuata Ila Mimi nilikuwa nasubiri mpambano wa smackdown women's division kuna mwanadada black america nilikuwa nataman anyanyue mkanda na kafanikiwa anaitwa Naomi a.k.a feel the glow....Amempin alexa akakubali mwenyewe. Na Ngoma ya funga dimba ilikuwa ni dead man vs super Dogy punch na kama sio ubishi wa reign taker alishashinda mapema sema Roman alimsubiri taker atumie nguvu zote na yy ndio akamuanza amepewa spear za ukweli hadi Leo kawa dead man kama alivyokuwa anafanya wenzake...... Roman alishatangaza anamstaafisha jamaa watu wengi wakachukulia masihara na kweli jamaa ameacha koti na kofia kwenye ulingo.... Tunasema thanx taker ameshinda wrestlemania 22 na kapigwa 2 tu mwaka juzi na lesner na ihii ya roman
 
Too Sad kusikia hivyo, mimi ni mshabiki mkubwa wa The UnderTaker...Vivyo hivyo pia ni mshabiki wa Roman Reign(Coz anapambanaga Fair, ndo ninachompendea).

So Sad kwa Mtaalam UnderTake.
 
Nimecheki pambano hilo Leo, aisee ni la kukata na shoka. Huwezi amini kama mtu wa umri ule angeweza kutoa upinzani mzito kwa Roman akiwa kwenye ubora wake, nilikuwa katika wakati mgumu maana kwa wrestlers wa longtime namkubali sana Taker na kwa wrestlers wa sasa namkubali sana Roman. Pamoja na kichapo ila Taker atakumbukwa sikuzote he is the legend
 
Kwa sasa Roman hana mbabe wake, ile ngumi yake akiipiga chini akaiangalia halafu akatoa mlio kama mbwa mwitu kimbia tu broo...
 
Leo ilikuwa ni wrestlemania 33 imeanza saa nane usiku, pambano la ufunguzi lilikuwa kati ya Neville vs Austin na king of cruiserweight nevile ameuretein mkanda wake mpambano ulikuwa sio wa kitoto, na mapambano mengine mengi yalifuata Ila Mimi nilikuwa nasubiri mpambano wa smackdown women's division kuna mwanadada black america nilikuwa nataman anyanyue mkanda na kafanikiwa anaitwa Naomi a.k.a feel the glow....Amempin alexa akakubali mwenyewe. Na Ngoma ya funga dimba ilikuwa ni dead man vs super Dogy punch na kama sio ubishi wa reign taker alishashinda mapema sema Roman alimsubiri taker atumie nguvu zote na yy ndio akamuanza amepewa spear za ukweli hadi Leo kawa dead man kama alivyokuwa anafanya wenzake...... Roman alishatangaza anamstaafisha jamaa watu wengi wakachukulia masihara na kweli jamaa ameacha koti na kofia kwenye ulingo.... Tunasema thanx taker ameshinda wrestlemania 22 na kapigwa 2 tu mwaka juzi na lesner na ihii ya roman
Inaitwa super man punch co super dogy punch mkuu.
 
Back
Top Bottom