Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,042
- 10,787
Ukurasa wa Twitter wa Shirikisho la Soka Barani Ulaya(UEFA) waweka picha ya Mtanzania, Mbwana Ally Samatta na kumtaja kuwa ni mchezaji wa kuangaliwa. -
Mshambuliaji huyo hatari amefunga magoli sita katika michezo mitano ya mwisho aliyoichezea Klabu yake ya KRC Genk.
Mshambuliaji huyo hatari amefunga magoli sita katika michezo mitano ya mwisho aliyoichezea Klabu yake ya KRC Genk.