FYI-Zawadi ya mfungaji bora wa ligi ya EPL ,inayojulikana kama Premier League Golden Boot ,ambayo Harry Kane amechukua kwa mara ya pili mfulilizo ,mfungaji bora huwa anapewa kiasi cha £1,000 kwa...
Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amesema utata kuhusu hatima yake katika klabu hiyo huenda ulichangia kushindwa kwa klabu hiyo kumaliza katika nafsi nne za kwanza katika Ligi Kuu ya England.
Hata...
Ndugu zangu wana JF nina ombi mimi ni mtumishi wa serikali katika halmashauri moja ya Mkoa wa Mtwara, nimebahatika kumuona mtoto mmoja ambae uwezo wake kisoka (football) nadiriki kumfananisha na...
Hapo patamu sana hebu angalia safari hii ya usanii wa bodi ya ligi na kamati ya sheria na hadhi ya wachezaji.
1:Simba SC yapeleka malalamiko kuwa Kagera Sugar imemchezesha Mohammed Fackh ambaye...
STRAIKA aliyeifunga Simba mara nyingi kwenye rekodi za mashindano yote, John Bocco ‘Adebayor’
STRAIKA aliyeifunga Simba mara nyingi kwenye rekodi za mashindano yote, John Bocco ‘Adebayor’...
Nimesikia hawa wazee wa Simba wameniudhi sana,na Mimi ni mpenzi wa Simba kindaki ndaki.Ninachukia sana jinsi wanavyomsema Dewji!
Yaani hawa mizee inaudhi sana.Hii mizee inarudisha nyuma sana...
#SpotiHausi ni kipindi cha #Michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi saa 10:00 jioni.
Wachambuzi wa michezo Saleh Jembe, Wilbert Molandi, Philip Nkini watakupa madini yote...
Nianze kwa kuwapongeza washindi wa ligi yetu ya mpira hapa Tanzania bara Dar Young Africans, pia pongezi ziende kwa vilabu vyote shiriki na shindani katika ligi hii.
Siku ya jana tumeona zawadi...
Wakuu, pana michuano ya FIFA U20 inayofanyika huko Korea Kusini. Michuano hii ni mizuri mno ila ratiba yake inanichanganya kwani hata watangazaji wetu wa radio na TV wamejikita kwenye timu za EPL...
Binafsi nimefuatilia (ingawa sio kwa kina) soka la bongo na ligi yote inayoishia hivi karibuni (maana haijaisha kwa sisi wengine) napenda kutoa mapendekezo yafuatayo kwa TFF kama wanasikia...
Kama mwanajangwani, ningependa kutoa shukrani na pongezi zangu binafsi kwa Mwenyekiti aliyefanikiwa kuiko mwenyekiti yeyote tuliyepaya kuwa naye Jangwani Bw Yusuph MANJI.
Mnamo jana jioni Bw...
Manchester United aka Mashetani Wekundu ya Uingereza wakicheza nyumbani OT jana wameweka miadi na Ajax Amsterdam ya Uholanzi kwa fainali ya kombe la Europa.
Man U ilitoa sare ya 1-1 na Celta Vigo...
Leo Zacharia Hans Pope kasema malalamiko ya Simba yapo FIFA hivyo wao ndiyo watajua kama tunastahili point 3 na mabao 3 au lah kwani wasimamizi wa ligi walikwisha sema kuwa mchezaji wa Kagera...
WATCH LIVE MATCH | Ajax vs Manchester United (The UEFA Europa League) 24-05-2017 21:45 - 00:45 | FULL MATCH
WHATCH FREE HERE WATCH LIVE MATCH | Ajax vs Manchester United (The UEFA Europa League)...
Salaam wanabodi,
Ligi imemalizika weekend iliyopita na YANGA kukabidhiwa kombe lake.
Wana simba wamefungwa Mawazo yao na kauli za Manara na aveva kuhusu kukata rufaa FIFA ili wasipate Muda wa...
Kwa habari za chini ya Kapeti ambazo bado naendelea kuzihakiki zinasema kwamba hatimaye tayari FIFA wameshafanya maamuzi juu ya Rufaa ya Simba SC na kwamba kuna barua imeshatumwa tena kwa DHL...
Wiki hii nimegundua. Hakuna jambo rahisi kama kuwa kiongozi wa klabu ya Simba. Uwezo wako wa kucheza na akili ya mashabiki wa Simba unaweza kuwa kiongozi wao milele na milele. We kuwa muongo tu...