Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Ndugu wananchi.... Msimu ujao wa ligi ya mabingwa Ulaya tunaweza kuufuatilia moja kwa moja kupitia Facebook..... Hii ni kwamujibu wa Fox Sports kuungana na Facebook kurusha michuano hiyo moja...
1 Reactions
4 Replies
790 Views
Wadau habari za usiku. Mimi ni fanatic (mkereketwa) football fan na die hard Barcelona fan since 1993 enzi za Hristo Stoichkov na Romario De zouza. Jezi mpya za Barcelona ambazo "Blaugrana"...
4 Reactions
46 Replies
12K Views
KUNA kitu kinaendelea Dar es Salaam. Leo Jumanne kutakuwa na mchuano mkali baina ya vigogo wa Simba na Yanga kwenye Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam, kila mmoja akimwwania Donald Ngoma. Yanga...
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Habari kubwa iliyonifikia hivi punde ni kwamba striker Donald Ngoma anatarajiwa kusaini mda wowote katika Club kubwa ya Simba. Inasemekana Ngoma yupo katika mazungumzo ya mwisho na tajiri kijana...
3 Reactions
83 Replies
13K Views
Nadal kaimudu sana game Wawrinka anaonekana kukata tamaa.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
KickOff.com can confirm that Polokwane City have completed the signing of Zimbabwean striker Donald Ngoma. The 27-year-old has penned a three-year deal with Rise and Shine after undergoing a...
0 Reactions
27 Replies
8K Views
Emanuel Anold Okwi awasili jijini Dar es Salaam jana usiku tayari kwa kusaini mkataba kuitumikia klabu ya Simba msimu ujao
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Hatimaye ronaldo amepongeza mess happy birthdays baada ya kutoongea kwa mda mrefu Mashabiki acheni kugombana tena fahari wawili wamekaa zizi moja
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za ndani kabisa kutoka kwa mmoja wa Marafiki wa karibu / mkubwa sana wa aliyekuwa Mchezaji wa Yanga FC Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima ( jina kapuni ) zinasema kwamba wana Simba SC '...
6 Reactions
39 Replies
6K Views
Mlinda mlango wa Azam FC na timu ya taifa ya Tanzania Aishi Salum Manula, amekanusha kusaini na Klabu ya Simba huku akiongeza kuwa vipo vilabu vingi vya hapa nchini alivyofanya navyo mazungumzo na...
0 Reactions
21 Replies
8K Views
Manchester hoi kwa Liverpool LONDON, Uingereza KOCHA wa Liverpool, Rafael Benitez amepata ushindi wake wa kwanza kwenye Ligi Kuu dhidi ya Manchester United, kwa bao la dakika za mwisho...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Msimu wa ligi barani Ulaya unaisha wiki hii,na mabingwa wamepatikana England-Man United France-Lyon Spain-Real Madrid Germany-Bayern Munich Portugal-Porto Holland-PSV Imebaki Italy kati ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kipindi hiki cha Usajili VPL.... Kuna watu wameingizwa sana mkenge. Pongezi zimfikie mwenye jicho hili. Mchezaji akimaliza mkataba na timu yake, hili linafanyika. Tunakupa 50/- wale wanasema 70...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Leo, June 25 2017 timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ambao ni wageni waalikwa katika michuano ya COSAFA 2017 inayoendelea nchini Afrika Kusini, walicheza game yao ya kwanza ya michuano hiyo...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Sio siri samata yuko juu ki mpira,lkn sio kweli kuwa samata ni bora kwa kuwa mchezaji bora wa afrika kuliko wanyama,ukweli ni huu, SAMATA ni mchezaji bora wa afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Nimeshangazwa sana na uwezo wa mchezaji huyu mkongwe na beki wa kati wa Timu ya Mexico. Baada ya kumuona tena jana akiwa na uwezo ule ule wa miaka yote kwenye game ya Confederation cup dhidi ya...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu wa kazi tujuzane
0 Reactions
1 Replies
889 Views
Baada ya shabiki mmoja wa Yanga kuonekana akiichoma moto jezi ya kiungo Haruna Niyonzima. Niyonzima raia wa Rwanda, ameamua kuondoka Yanga baada ya mkataba wake kwisha na klabu ya Yanga ikawa...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Wote mnakumbuka miaka ile ya 90 jinsi komandoo Muhidini Ndolanga alivyokuwa anashinda chaguzi za FAT against all odds! Licha ya nchi nzima kumpinga pamoja na Serikali Chini ya waziri Juma...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Hizi kampuni za Betting(M.bet na MKEKA BET)kama sio Matapeli basi ni wezi wanatumia Number za simu sawa na 300300 namba ya kampuni ila ukipiga simu wanasema sio wao 0762768500/0758833333.Mwenye...
0 Reactions
23 Replies
28K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…