Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Klabu ya Azam FC imemfukuza kocha wake Mholanzi Hans van der Pluijm na Msaidizi wake Juma Mwambusi, kufuatia mwenendo mbaya katika ligi kuu Tanzania. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Kila klabu ya soka inayoshiriki ligi kuu Tanzania Bara ina msemaji wake kwa mujibu wa sheria na taratibu za mchezo huo. Ilizoeleka ukiwa msemaji wa vilabu vikubwa vya Yanga na Simba lazima uwe...
11 Reactions
31 Replies
7K Views
Ni wakati wa Mechi ya Simba na Yanga leo jumamosi Feb 16,2019. Tukio limetokea wakati kapteni wa Yanga Ajib anawatambulisha wachezaji wake kwa mgeni rasmi alipofika kwa Yondani akagoma kupokea...
0 Reactions
58 Replies
11K Views
Mchezaji wa nafasi ya ulinzi Zana Oumar Coulibaly, wa ASEC Mimosas ya Ivory Coast amewasili nchini Tanzania kukamilisha taratibu za mwisho za kujiunga na Simba SC Coulibaly ambaye ni beki mwenye...
2 Reactions
70 Replies
22K Views
Ni ukweli uliowazi, kocha Mwinyi Zahera na uongozi wa Yanga kwa ujumla wamechemka. Kakolanya alikua ni golikipa namba moja wa Yanga na pia namba mbili kwa upande wa timu ya Taifa. Kwa mashabiki...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Hatimaye baada ya kuchezea kichapo heavy kutoka kwa mnyama simba sport club, Timu ya Yanga fc leo almanusura ipoteze tena mbele ya wauza mbao wa jiji la mwanza Mbao fc baada ya kwenda mapumziko...
0 Reactions
216 Replies
20K Views
Poleni sana Yanga na Hongereni sana Mnyama Simba. Naomba nitoe maoni yangu kama mtanzania huru na ingawa ninayo timu yangu baina ya Simba au Yanga . Hasa napenda kueleza juu ya mustakabali wa...
5 Reactions
33 Replies
6K Views
kumbe kilichowasibu Piacenza ni Mgomo na hali ngumu ya Uchumi!!! Iko hivi: Moja ya habari iliyoshika kasi sana ilikua kipigo cha mbwa mwizi kwa klabu ya Pro Piacenza. Hawa wanashiriki ligi...
0 Reactions
3 Replies
887 Views
Ili timu iwe bora lazima kwa pamoja TFF na serikali na wadau wote tuangalie namna Bora kwa ligi yetu ya Ndani iwe na ushindani zaidi maana timu zetu zimekuwa zikishinda kwa wepesi zaidi ligi ya...
0 Reactions
2 Replies
937 Views
Yaan kiukweli, napenda na kivutiwa sana kusikiliza vipindi vya michezo pindi timu yangu inaposhinda.. Hii hutokana na furaha ninayokuwa nayo baada ya kushinda, mfano Leo Yanga yangu imeshinda huwa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Huku akiongea kwa ' Kufoka ' kama kawaida yake na akitawaliwa na ' Hasira ' zake za Kimachame aliyewahi kuwa Msemaji wa Klabu ya Omba Omba Bakuli FC ( Yanga ) na sasa akiwa ni Mkuu wa Wilaya ya...
6 Reactions
40 Replies
7K Views
Wana yanga tusikate tamaa Timu yetu imeonyesha bado ina uwezo wa kupambana na tuendelee kuipa moyo Kiukweli simba imetuzidi uwezo wana wachezaji mahiri kila idara wanacheza na kupanga...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wana bodi Moja ya sababu kwa nini Tanzania hatufanyi vizuri kimataifa, ni kukosa uwekezaji makini kwenye vilabu vyetu halafu kutegemea kuhonga na uchawi kuendesha masuala ya mpira. Niwapongeze...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wadau wa soka naamini mmeona mgawanyo wa mapato katika Mechi ya Simba na Yanga. Binafsi naiona TFF inavinyonya Vilabu kwani kuna mapato yanaitwa 1.TFF 2.TPLB 3.GHARAMA ZA MECHI Binafsi naona...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Mkuu wa kitengo cha habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara amemvisha jezi ya Simba, mkuu wa wilaya ya Arumeru ambaye shabiki wa Yanga na aliyewahi kuwa Msemaji kunako timu hiyo Jerry Muro, katika...
3 Reactions
28 Replies
5K Views
Moja kati ya mashabiki feki na waajabu kutokea ulimwenguni ni mashabiki wa Yanga, Wakati timu yao ikiwa kwenye kipindi kigumu cha kutembeza bakuli la michango ya kuendesha timu wao kama kawaida...
5 Reactions
19 Replies
4K Views
Baada ya mechi ya mtani wikiendi, Simba Leo yuko jijini Arusha kuendele na safari ya ligi kuu kwa kukwaana na African Lyon. Simba inayokabiliwa na mechi nyingine dhidi ya Azam Ijumaa inaingia...
1 Reactions
37 Replies
9K Views
Nimeota kama tunahitaji ushindi mechi na Uganda mgeni rasmi aje rais Mstaafu Ali hassan Mwinyi hakika naona AFCON EAC Ikumbukwe; Uganda wamepita Kenya wamepita Tanzania? Cc: Hon Karia Cc: Hon...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Katika dokezo lililotolewa juzi la makundi ya timu kuwania kushiriki AFcon 2019 Tanzania ina fursa ya kuingia. Je watanzania tufanye yapi ili timu yetu nayo iweze kushiriki na ikiwezekana ichukue...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom