Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Uchaguzi Mkuu wa klabu ya Yanga, uliosimamishwa kutokana na baadhi ya wanachama kufungua kesi Mahakamani, sasa umepangwa kufanyika Machi 10, mwaka huu Awali, uchaguzi huo ulipangwa kufanyika...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
ajax vs real madrid highlights 1-4
0 Reactions
0 Replies
718 Views
Mshambuliaji wa Yanga SC, Mkongoman Heritier Makambo amezidi kung’ara baada ya kuchaguliwa kwenye orodha ya awali ya Wachezaji 40 watakaounda kikosi cha timu ya Taifa ya DR Congo. Congo ni kati...
1 Reactions
25 Replies
7K Views
Klabu ya Simba SC ya jijini Dar es salaam imetajwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kuwa klabu namba 5 kwa utajiri Barani Afrika. Simba SC imetajwa kuwa na utajiri wa karibu Paund milioni...
11 Reactions
221 Replies
43K Views
Nonda shabani "Papii" si jina geni kwa wapenzi wa soka wa bongo,huyu ni mchezaji wa zamani wa yanga ya dar es salaam ambae ameonyesha mfano wa kuigwa kwa wachezaji wetu wa bongo kutokana na...
0 Reactions
68 Replies
13K Views
Kwa bahati sikuweza kuangalia hii mechi Kipindi hicho lakini juzi kupitia Man u tv niliona hii game kwenye dakika ya 70 na kuendelea kipa wa man akaumia na ikabdi John oshea akae golini! Je sub...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natumain uzima upo humu ndani, Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Ukiwa mfuatiliaji wa mpira wa miguu logo ya As Roma inaonesha Bweha akiwa na watoto wawili wanaonyonya. Hawa ni mapacha...
3 Reactions
2 Replies
4K Views
Kuelekea mchezo wa Tanzania Premier League TPL, kati ya Stand United dhidi ya Simba SC Uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga, Stand United chagueni wenyewe mnataka mfungwe mabao mangapi...
6 Reactions
86 Replies
12K Views
Klabu ya Minnesota United ya Marekani imetangaza kumsajili Mtanzania Ally Hamis Ng'anzi (18) kwa mkopo wa mwaka mmoja kukiwa na uwezekano wa kumnunua kutoka Klabu MFK Vyskov ya nchini Czech...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Karibuni kwa Live updates kutoka dimba la CCM Kambarage Mjini Shinyanga Moderator Mhariri utanisaidia kuhariri/EDIT kichwa cha habari iwe Stand united vs Simba kwa maana Stand United yupo...
11 Reactions
98 Replies
13K Views
Kumbe mibwabwa!!!!!
0 Reactions
87 Replies
15K Views
Wadau najaribu kufikiri kwa kina bila kupata majibu sahihi katika hili,katika kipindi cha miaka nane ya Tenga Tuliona TFF ikipiga hatua kubwa ya kimaendeleo katika sura la utawala ,kwa maana...
0 Reactions
1 Replies
926 Views
WARAKA WA WANACHAMA WA YANGA KWA TFF TAREHE; 23/02/2019 NA MOODY KABWE moodykabwe@gmail.com 0715268499 0685188679 Sisi wanachama wa YANGA nchi nzima kwa umoja wetu tuna masikitiko makubwa...
3 Reactions
39 Replies
6K Views
Kocha mkuu wa timu ya Fulham ametimuliwa kufuatia kipigo cha mabao2-0 kutoka kwa timu ya Southmpton. Kocha huyo aliyewahi kuiongoza Leicester city kutwaa ubingwa wa England alipata ushindi mara...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Ushindi wa goli 1-0 wa Barcelona dhidi ya Real Madrid ukiwa ni ushindi wa pili ndani ya siku 3, unaifanya Barcelona kuwa timu ya kwanza katika Historia ya Ligi Kuu nchi Uhispania kushinda mechi...
3 Reactions
3 Replies
3K Views
Wana MMU mwenye uelewa wa boxing naomba anifafanulie kwa nini Anthony Joshua na Mayweather haitotokea wakapigana
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Hayo ni maneno ya Haji Manara YANGA KUUKOSA UBINGWA WA LIGI KUU BARA KWA MISIMU 10 IJAYO - SALEH JEMBE
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Huwa nachukia sana Viongozi wa Timu za Ligi Kuu ambazo huwa zinacheza na Yanga SC. Kabla ya Mechi zao na Yanga SC utawasikia wanajitapa na kutamba kabisa hadi kutupa Moyo Sisi tusiowapenda Yanga...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Ukisangaa ya Musa utaona ya Farauni. Leo j5 pana mechi kali dunia nzima wanaiona katl ya Real Madrid ya Barcelona kombe la mfalme. J1 hii timu hizi zinakutana tena kwenye La liga. Wapangaji wetu...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari za asubuhi wakuu Natumani ni wazima wa afya niko hapa kuona mawazo yenu juu ya ninachokiwaza kuhusu hawa wana masumbwi bora kabisa kwa sasa ulimwengu lakini katika uzito tofauti mmoja...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom