Klabu ya Azam FC yamfukuza Kocha wake Hans Van Der Pluijm na Msaidizi wake!

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Klabu ya Azam FC imemfukuza kocha wake Mholanzi Hans van der Pluijm na Msaidizi wake Juma Mwambusi, kufuatia mwenendo mbaya katika ligi kuu Tanzania.
IMG_20190223_190104_613.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa zetu Chirwa na Ngoma wapo?
Maana walidai wanataka malipo mazuri ili waperform
 
Back
Top Bottom