Hatimaye Jerry Muro ' ajilipua ' kwa kuwatolea Uvivu Viongozi wa Yanga SC, Kocha Mwinyi Zahera na Msemaji Dismas Ten

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
41,382
2,000
Huku akiongea kwa ' Kufoka ' kama kawaida yake na akitawaliwa na ' Hasira ' zake za Kimachame aliyewahi kuwa Msemaji wa Klabu ya Omba Omba Bakuli FC ( Yanga ) na sasa akiwa ni Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mheshimiwa akizungumza TBC Taifa kupitia Mtangazaji wake Jesse John ameamua Kuvunja ukimya na ' Kutapika ' nyongo dhidi ya Klabu yake hiyo, Viongozi wake, Kocha wake na Msemaji wake.

Akiwa pia amekubali mwenyewe kuvalia Jezi ya Mnyama Mnyamani ( Timu ya Mwenyezi Mungu na iliyobarikiwa nae ) ya Simba SC huku akiitama ikicheza Kandanda safi kabisa na Kuifunga Timu ya African Lyon katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Kaluta leo Mheshimiwa Jerry Muro aliamua kusema haya maneno yake ambayp nitayanukuu hapa moja kwa moja bila kuongeza wala kupunguza chochote kile.

Nukuu # 1. " Tusidanganyane Yanga hakuna Viongozi sasa bali kuna Wajanja Wajanja tupu na kamwe tusitegemee makubwa kutoka Kwao "

Nukuu # 2. " Yanga haina Kocha bali ina Mhamasishaji tu na Mtu ambaye amewashika akili Watu wachache kwa Kujifanya anachangia Pesa zake huku akiwa hakuna chochote anachokifundisha na amekuwa ni Msemaji zaidi zaidi ya Mwalimu "

Nukuu # 3. " Mimi Jerry Muro ndiye niliweza kuleta Hamasa kwa Mashabiki na Wapenzi wa Yanga hadi wakawa na mwamko na Timu yao lakini cha Kushangaza huyu Msemaji wa sasa niliyedhani kuwa ataweza kuvaa vizuri Viatu vyangu naona vimempwaya kabisa na anafanya Yanga inyanyasike mno na Msemaji wa Simba Kaka yangu Haji Manara "

Nukuu # 4. " Mimi ni Yanga tena lialia kama siyo kindakindaki kabisa ila sitaki kuwa Mnafiki na ukweli ni kwamba Simba wako vizuri, wamesajili Kiufundi kabisa na watafanya vyema kabisa kwani wanajua nina wanachokifanya kwakuwa wana Watu makini "

Nukuu # 5. " Yanga ina mengi sana ya Kuiga na Kujifunza kutoka kwa Simba na hili wala tusijifiche au tusijifanye hatuoni. Wenzetu wameshatutangulia na kupiga hatua za Kimaendeleo na Sisi tunabaki tu kutembeza Bakuli kila Siku hii ni aibu "

Nukuu # 6. " Kwa aina ya Kikosi kile cha Simba kilichosheheni Mafundi watupu ni Mjinga na Mpumbavu tu pekee ndiyo angejua kuwa mechi ya juzi Yanga tusingefungwa na kuna uwezekano Wachezaji wa Simba walituonea huruma kwani walikuwa na uwezo hata wa Kutupiga / Kutufunga Goli 5 na zaidi ila waliamua Kutusitiri tu Watani zao tusiumbuke "

Nukuu # 7. " Mashabiki wa Yanga nao hawaeleweki kwani wanaenda Uwanjani kwa ' Kubipu ' tofauti na wenzao wa Simba ambao kiukweli nawasifu mno kwakuwa wamekuwa bega kwa bega na Timu yao na wanaishangilia muda wote tofauti na Wetu ambao huwa kimya utadhani ni Wakiwa "

Hongera sana na mno Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro kwa kuamua ' Kunyoosha ' maelezo yako hivi. Wenye akili na wanaojua mpira wamekusikia. Binafsi huwa napenda sana Watu wawazi na wakweli kama hivi Wewe na wenye tabia hii kama yako ya ' Kunyoosha ' maelezo bila Kupepesa macho, Kutikisa masikio na Kumung'unya maneno tupo wachache hapa duniani.

Nawasilisha.
 
SaaMbovu

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
5,786

Nukuu # 1.
Nimemsikia mwenyewe kabisa. Kwakweli maneno aliyoyaongea ni makali mno. Kamsema vibaya sana msemaji wa Yanga D10

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kyata

JF-Expert Member
Jun 20, 2015
1,504
2,000
Huku akiongea kwa ' Kufoka ' kama kawaida yake na akitawaliwa na ' Hasira ' zake za Kimachame aliyewahi kuwa Msemaji wa Klabu ya Omba Omba Bakuli FC ( Yanga ) na sasa akiwa ni Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mheshimiwa akizungumza TBC Taifa kupitia Mtangazaji wake Jesse John ameamua Kuvunja ukimya na ' Kutapika ' nyongo dhidi ya Klabu yake hiyo, Viongozi wake, Kocha wake na Msemaji wake.

Akiwa pia amekubali mwenyewe kuvalia Jezi ya Mnyama Mnyamani ( Timu ya Mwenyezi Mungu na iliyobarikiwa nae ) ya Simba SC huku akiitama ikicheza Kandanda safi kabisa na Kuifunga Timu ya African Lyon katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Kaluta leo Mheshimiwa Jerry Muro aliamua kusema haya maneno yake ambayp nitayanukuu hapa moja kwa moja bila kuongeza wala kupunguza chochote kile.

Nukuu # 1.
Mkuu , Jerry Muro si chochote wala si lolote kwa Young Africa, Yanga ilikuwepo, IPO na itaendelea kuwepo daima. Sote tutapita ukiwamo wewe mleta Uzi, tutaiacha Yanga ikitamalaki.
 
LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
8,556

Geny Geny Geny. How many time did I call u? Hivi unakosaga na vitu vya kupost ? What's up? Hiki ndo nini umeandika Geny?
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
41,382
2,000
Mkuu , Jerry Muro si chochote wala si lolote kwa Young Africa, Yanga ilikuwepo, IPO na itaendelea kuwepo daima. Sote tutapita ukiwamo wewe mleta Uzi, tutaiacha Yanga ikitamalaki.

Mbona unaonekana kama vile ' umehamaki ' na ' unapovuka ' sana Mkuu? Jerry Muro kapiga ' Ikulu ' nini?
 
King Ngwaba

JF-Expert Member
May 15, 2016
15,953
2,000
Nilijua tu kuwa Vyura FC, Ndala FC, Omba Omba FC, Kagere FC, Madimbwini FC, Mdondo FC, Akilimali FC, Mabakuli FC, Zahera FC watanuna tu kwa huu uzi.
 
mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,461
2,000
Huku akiongea kwa ' Kufoka ' kama kawaida yake na akitawaliwa na ' Hasira ' zake za Kimachame aliyewahi kuwa Msemaji wa Klabu ya Omba Omba Bakuli FC ( Yanga ) na sasa akiwa ni Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mheshimiwa akizungumza TBC Taifa kupitia Mtangazaji wake Jesse John ameamua Kuvunja ukimya na ' Kutapika ' nyongo dhidi ya Klabu yake hiyo, Viongozi wake, Kocha wake na Msemaji wake.

Akiwa pia amekubali mwenyewe kuvalia Jezi ya Mnyama Mnyamani ( Timu ya Mwenyezi Mungu na iliyobarikiwa nae ) ya Simba SC huku akiitama ikicheza Kandanda safi kabisa na Kuifunga Timu ya African Lyon katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Kaluta leo Mheshimiwa Jerry Muro aliamua kusema haya maneno yake ambayp nitayanukuu hapa moja kwa moja bila kuongeza wala kupunguza chochote kile.

Nukuu # 1. " Tusidanganyane Yanga hakuna Viongozi sasa bali kuna Wajanja Wajanja tupu na kamwe tusitegemee makubwa kutoka Kwao "

Nukuu # 2. " Yanga haina Kocha bali ina Mhamasishaji tu na Mtu ambaye amewashika akili Watu wachache kwa Kujifanya anachangia Pesa zake huku akiwa hakuna chochote anachokifundisha na amekuwa ni Msemaji zaidi zaidi ya Mwalimu "

Nukuu # 3. " Mimi Jerry Muro ndiye niliweza kuleta Hamasa kwa Mashabiki na Wapenzi wa Yanga hadi wakawa na mwamko na Timu yao lakini cha Kushangaza huyu Msemaji wa sasa niliyedhani kuwa ataweza kuvaa vizuri Viatu vyangu naona vimempwaya kabisa na anafanya Yanga inyanyasike mno na Msemaji wa Simba Kaka yangu Haji Manara "

Nukuu # 4. " Mimi ni Yanga tena lialia kama siyo kindakindaki kabisa ila sitaki kuwa Mnafiki na ukweli ni kwamba Simba wako vizuri, wamesajili Kiufundi kabisa na watafanya vyema kabisa kwani wanajua nina wanachokifanya kwakuwa wana Watu makini "

Nukuu # 5. " Yanga ina mengi sana ya Kuiga na Kujifunza kutoka kwa Simba na hili wala tusijifiche au tusijifanye hatuoni. Wenzetu wameshatutangulia na kupiga hatua za Kimaendeleo na Sisi tunabaki tu kutembeza Bakuli kila Siku hii ni aibu "

Nukuu # 6. " Kwa aina ya Kikosi kile cha Simba kilichosheheni Mafundi watupu ni Mjinga na Mpumbavu tu pekee ndiyo angejua kuwa mechi ya juzi Yanga tusingefungwa na kuna uwezekano Wachezaji wa Simba walituonea huruma kwani walikuwa na uwezo hata wa Kutupiga / Kutufunga Goli 5 na zaidi ila waliamua Kutusitiri tu Watani zao tusiumbuke "

Nukuu # 7. " Mashabiki wa Yanga nao hawaeleweki kwani wanaenda Uwanjani kwa ' Kubipu ' tofauti na wenzao wa Simba ambao kiukweli nawasifu mno kwakuwa wamekuwa bega kwa bega na Timu yao na wanaishangilia muda wote tofauti na Wetu ambao huwa kimya utadhani ni Wakiwa "

Hongera sana na mno Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro kwa kuamua ' Kunyoosha ' maelezo yako hivi. Wenye akili na wanaojua mpira wamekusikia. Binafsi huwa napenda sana Watu wawazi na wakweli kama hivi Wewe na wenye tabia hii kama yako ya ' Kunyoosha ' maelezo bila Kupepesa macho, Kutikisa masikio na Kumung'unya maneno tupo wachache hapa duniani.

Nawasilisha.
WanaYanga huyu anatakiwa ajibiwe kwa Kadiriki kuvaa jezi ya Mnyama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
3,591
2,000
wewe jerry fanya utafiti juu ya mwinyi zahera,kabla hujaropoka maneno yako,unajua zahera ni kocha msaidizi wa timu ya taifa ya kongo?,unajua timu aliyoikuta zahera hapo yanga?,unajua jinsi alivyopika haohao wachezaji,na wamepambana na simba hiyo timu nzuri na wakashinda goli moja tu?,shwani we

Naomba kujua hizi Hasira / Jazba zako zote hapa unazielekeza Kwangu au unahisi Mimi ndiyo Muro mwenyewe au unampasha tu Jerry Muro kupitia huu Uzi wangu? Nasubiri jibu lako haraka sana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom