Mchezaji wa zamani timu ya ARSENAL na taifa la UFARANSA PATRIC VIEIRA asilimu na kuwa muislami...... TAKBIRRRR

Hahahahaa....mume subiri amepata post career depression mkamkimbilia!

Dini ni ma-opportunists!
Ni haki yake kuamini kile anachokiona kina mfaa
Kwahyo wote wanaobadili dini kutoka dini moja kwenda nyengine huwa inatokana na post career depression sio,kama unaushahidi usio na shaka yoyote kuwa jamaa kasilimu sababu ya hyo depression share nasi mkuu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata mimi ntakuja kusilimu ili tu nioe wake wa 4

kila mmoja ana sababu yake ya kusilimu yaweza kuwa mapenzi, ahadi ya vinono, wake wa 4, kumiliki mali na mengineyo
Sababu nzuri sana hiyo kwani utakuwa umesilimu na umejisitiri na zinaa na umesitiri wanawake wanne.

Tunakutakia kila la heri na usisilimu kwa kushinikizwa ila kwa sababu zako mwenyewe, zozote zile.
 
Inawezekana maana wengi tu walishazushiwa kusilimu (akiwemo Michael Jackson).
People like to hear what they want.....kwa hiyo mtu akipata taarifa anasambaza tu bila kujipa muda kidogo kutafiti ukweli wake....

Katika zama hizi za technology...ni rahisi kupata taarifa...unahitaji juhudi kidogo kuthibitisha usahihi wa taarifa husika...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mh sasa ww itakuongezea bei gani mfukoni mwako ? au ktk kipochi chako ww bibi dada ...
 
Nilifikiri ushaachana na mada hizi zenye mlengo wa kidini...kumbe bado unazo!! Hazijengi sana
 
Hata Anelka alifanya hivyo..najiuliza kwa nini hawabadili dini wakiwa kwenye kilele cha mafanikio kiuchezaji...
 
Back
Top Bottom