Haji Manara amvisha Jezi ya Simba SC Jerry Muro Uwanja wa Sheikh Amri Abeid

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
20,415
2,000
Mkuu wa kitengo cha habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara amemvisha jezi ya Simba, mkuu wa wilaya ya Arumeru ambaye shabiki wa Yanga na aliyewahi kuwa Msemaji kunako timu hiyo Jerry Muro, katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha.

Hiyo ilikuwa katika Shamrashara kuelekea kuanza kwa mchezo wa ligi kuu Tanzania kati ya African Lyon na Simba.

Haji manara amefanya hivyo baada ya ahadi waliyowekeana kwamba nani atamfunga mwenzake kwenye mchezo wa watani wa Jadi, Yanga SC dhidi ya Simba SC ambapo Simba waliibuka kwa ushindi wa bao 1-0 kwa bao la Meddie Kagere MK 14 .
IMG_20190219_163504_030.jpeg
IMG_20190219_163554_747.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ekuweme

JF-Expert Member
May 28, 2018
1,783
2,000
Leo asubuhi nimeona kwenye Youtube eti Haji Manara ametofautiana na mabosi wake na ajira yake ipo mbioni kuota nyasi. Wafuatiliaji hili lina ukweli? . Binafsi nimesikitika sana. Tutampata wapi kama Manara wana Simba kama ni kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tui

JF-Expert Member
Jun 2, 2018
1,010

Mkuu huo ni uzushi ambao ulianzishwa kabla ya mechi na Ahly .Hakuna ukweli wowote na De La Boss yupo Arusha na leo amefanya kazi nzuri ya uhamasishaji kwani uwanja ulifurika mpaka ikabidi wasitishe uuzaji wa tiketi.
Matokeo Simba 3 African Lyon 0.
 
General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
14,795
2,000
Kamchana sana,kwamba alitegemea kiatu chake kitambana,ajabu kimepwaya sana,amepoza,hatoi hamasa,hata mashabiki hawajui msemaji wao nani
Naliona tatizo sana katika club zetu.....
Tunawapa kazi za usemaji wa timu watu wasio na taaluma zaidi unakuta ni wapiga majungu, umbea, matusi, kejeli na ujinga mtupu....

Msemaji wa timu hapaswi kuwa, muhamasishaji, kazi za kuhamasiha hizo ji za mashabiki au wanachama...

Msemaji unapaswa kutoa taarifa za timu tena zile za kiutawala na sio kiufundi....

Ndio maa a Wenzetu huko ulaya, msemaji mkubwa wa timu ni Kocha. Kabla na baada ya mchezo Kocha ndie hutoa taarifa kuhusu wachezaji wake na mchezo utakavyochezwa au ulivyochezwaa....

Umewahi sikia wasemaji wa timu kama hawa kina Manara na Jerry Muro???

Mimi naona sio wasemaji bali Wana propaganda tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chilonge

JF-Expert Member
Dec 23, 2014
856
1,000
Kamchana sana,kwamba alitegemea kiatu chake kitambana,ajabu kimepwaya sana,amepoza,hatoi hamasa,hata mashabiki hawajui msemaji wao nani
Jamaa kaongea fact,kiukweli uafisa habari kwa hizi timu kongwe unakwenda mbali zaidi mpaka kuwa mhamasishaji.
Tatizo la Dismas ni kutaka kufuata protokali kuliko uhalisia wa timu zetu.
 
OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
29,903
2,000
Naliona tatizo sana katika club zetu.....
Tunawapa kazi za usemaji wa timu watu wasio na taaluma zaidi unakuta ni wapiga majungu, umbea, matusi, kejeli na ujinga mtupu....

Msemaji wa timu hapaswi kuwa, muhamasishaji, kazi za kuhamasiha hizo ji za mashabiki au wanachama...

Msemaji unapaswa kutoa taarifa za timu tena zile za kiutawala na sio kiufundi....

Ndio maa a Wenzetu huko ulaya, msemaji mkubwa wa timu ni Kocha. Kabla na baada ya mchezo Kocha ndie hutoa taarifa kuhusu wachezaji wake na mchezo utakavyochezwa au ulivyochezwaa....

Umewahi sikia wasemaji wa timu kama hawa kina Manara na Jerry Muro???

Mimi naona sio wasemaji bali Wana propaganda tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuwezi fanana kila kitu na Ulaya. Ndio maana hii ikawa Africa na kule ikawa Ulaya. Wewe uwepo wa Manala unakupa shida gani?

Nikuulize wewe kuhusu extended families zetu. Umefanikiwa kuishi na familia kama wafannyavyo Ulaya?
 
pilato93

JF-Expert Member
Jun 28, 2014
4,395
2,000
Naliona tatizo sana katika club zetu.....
Tunawapa kazi za usemaji wa timu watu wasio na taaluma zaidi unakuta ni wapiga majungu, umbea, matusi, kejeli na ujinga mtupu....

Msemaji wa timu hapaswi kuwa, muhamasishaji, kazi za kuhamasiha hizo ji za mashabiki au wanachama...

Msemaji unapaswa kutoa taarifa za timu tena zile za kiutawala na sio kiufundi....

Ndio maa a Wenzetu huko ulaya, msemaji mkubwa wa timu ni Kocha. Kabla na baada ya mchezo Kocha ndie hutoa taarifa kuhusu wachezaji wake na mchezo utakavyochezwa au ulivyochezwaa....

Umewahi sikia wasemaji wa timu kama hawa kina Manara na Jerry Muro???

Mimi naona sio wasemaji bali Wana propaganda tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Western education imekutoa kabisa na unashindwa kutofautisha ulaya na Africa, ulaya wana media ambazo zinazungumzia michezo muda wote yaani kazi yao ni sports tu sasa huku vyombo vilivyopo huku hivyo hivyo vizungumze habari,michezo,biashara,muziki na bado kuna wale walokole hawajalipia uoneshwe mahubiri waache tu wakina manara wapige porojo ili watu wahamasike tu

mpuuzi mpuuzi tu
 
Mgagaa na Upwa

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
5,510
2,000
Kamchana sana,kwamba alitegemea kiatu chake kitambana,ajabu kimepwaya sana,amepoza,hatoi hamasa,hata mashabiki hawajui msemaji wao nani
Muro ajielewi,huyo manara mnaosema ni muhamasishaji watu wanajaza uwanja kwa ajili yake!washabiki wa cmba wameanza kujaza uwanja hv karibuni tu,mbona kipindi ambacho mo akuwepo manara alikua hana uwezo wa kuhamasisha watu kujaza uwanja,ilifikia kipindi hadi hans pope alilisemea khs wapenzi wa simba kutokwenda uwanjani,kwa hali iliyopo Yanga kwa sasa hata jerry angekuwepo asingeweza kuhamasisha hadi kufikia kipindi cha manji watu wakawa na muhamko na timu yao,mnasifia manara mhamasishaji kama kaja juzi cmba kumbe ana zaidi ya miaka 4 na huko nyuma akuweza kua na ushawishi wwt,Tanzania hakuna wale loyalty fans wa mpira,wengi wao wanaenda na matokeo na uwekezaji wa timu uwanjani
 
Andika vizuri kaka
 
Tui

JF-Expert Member
Jun 2, 2018
1,010
2,000
Kuwa na Afisa Habari sio kwamba watu walikurupuka bali ni Agizo la FIFA.
Kuhusu kulinganisha Afrika na Ulaya .Timu nyingi kubwa za Ulaya zina seasonal tickets kwa mashabiki na wanachama wao ambao zinanunuliwa mwanzoni mwa msimu.Hivyo timu zinakuwa zimeshapata mauzo yao kwa wingi mwanzoni mwa msimu.
Hakuna haja ya kuhamasisha watu waingie mpirani.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom