Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kocha wa wekundu wa msimbazi kasema alikuwa miongoni mwa makocha waliokuwa wanafikiriwa kuajiriwa na Tottenham Hotspurs. Simba iko juu ==== Kocha wa Simba, Patrick Aussems amerudi na kusimamia...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Akizungumza leo Msemaji wa M-Bet Tanzania amesema wamefikia hatua hiyo ya kudhamini ligi hiyo ya Ruvuma Vijana Cup Ikiwa ni muendelezo wao wa kusapoti kuibuliwa kwa vipaji vya vijana wa Kitanzania...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Klabu ya Tottenham Hotspurs imemfuta kazi Kocha wake Mauricio Pochettino mwenye miaka 47, baada ya kuiongoza timu hiyo kwa miaka mitano Taarifa ya timu inasema matokeo ya mwishoni kwa ligi za...
4 Reactions
59 Replies
7K Views
THE RETURN OF THE KING Mourinho anarudi katika EPL kuifundisha Spurs baada ya Spurs kuwa wameachana na kocha wao Pochetino kutokana na kile walichosema ni kutokana na mwendelezo mbovu wa matokeo...
7 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwa mlio Dar Mtusaidie hili jamani najua tumechoka ila yanga leo wanacheza any updates
0 Reactions
2 Replies
938 Views
Baada ya mijadala mitandaoni, hii ni kauli ya Mbwana Samatta. Je, tutarajie mabadiliko yoyote kutoka kwa Captain, au ataendelea kupuyanga? Je, kwa Tweet yake hii ni kweli amegundua alikuwa hajitumi?
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Our team in the U17 World Cup: 7 matches 7 wins 19 goals scored 6 goals conceded Winners of the tournament and 100% in all competition. Great generation incoming🇧🇷 Reliquias Brasileiras🇧🇷 on...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa miaka ya karibuni tumeshuhudia timu ya taifa ya wanawake kuwa tishio barani Afrika. Ikishinda makombe mfululizo katika mashindano ya CECAFA, COSAFA n.k. Kwa nini haipo hivyo kwa upande wa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
JUMATATU iliyopita, Cristiano Ronaldo alifikisha bao lake la 700 katika maisha yake ya soka, wakati alipofunga mara moja akiwa na Ureno kwenye mechi ya kipigo kutoka kwa Ukraine kwenye...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hawa jamaa wamefungwa kizembe sana, kwanza wametumia kodi zetu vibaya na huu ni uhujumu uchumi. Wanafaa wakifika watandikwe viboko ili wajue kuipigania nchi sio kuchekacheka hovyo uwanjani.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kikosi cha Brazil cha umri chini ya miaka 17 kimenyakuwa kombe la dunia baada ya kuinyuka Mexico kwa bao 2-1 katika mchezo wa fainali. Pamoja na kunyakuwa kombe hilo pia mchezaji wa Brazil...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Huyu ni moja kati ya mastriker mahiri kabisa wa Dar Es Salaam Young Africans. Jina lake anaitwa Mohamed Hussein " Mmachinga" . Bingwa wa kucheka na nyavu. Yupo wapi huyu jamaa ?
3 Reactions
37 Replies
13K Views
Taarifa zinaeleza kuwa wawakilishi wa Jose Mourinho na wale wa Klabu ya Tottenham wamekuwa kwenye mazungumzo kuhusi jambo hilo Wanatarajiwa kufikia makubaliano yatakayomfanya Jose Mourinho awe...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ronaldo vs. Messi: career hat-tricks, goals, season statistics, trophies http://messivsronaldo.net/all-time-stats/ but wote tunajua hizi sifa Hapa chini CR7 hana,hivyo messi ataendelea kuwa juu ya...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Mshambuliaji machachari wa real Madrid ambaye pia aliwakuichezea Chelsea ametoa utabiri wake kuhusu game kubwa itakayofanyika jumamosi itakao wakutanisha man city ambaye anashika nafasi ya 4 vs...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa Hali ilivyo,isiporekebishwa Simba kukosa mbadala waKagere na Boko NI jambo hatari Sana. Na hili limejitokeza baada ya majeraha ya Boko.Watu wakimkamata Mk14 gemu imeisha,NI heri wangmwacha...
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Juma Kaseja 7 Salum Kimenya 5 Mohammed Hussein 7 Kelvin Yondan 6.5 Jamal Mwamnyeto 7 Mzamiri Yassin 8.5 Abubakar Salum 8 Simon Msuva 8 Mbwana Samatta 3 Farid Mussa 7 Ditram Nchimbi 8 Sub...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
ARSENAL ilianza kuharibika lini? Ilipojenga uwanja wake wa Emirates. Ilikuwa inatesa sana ikiwa katika uwanja wa Highbury lakini tangu walipohamia Emirates habari ikageuka. Natania tu, lakini kuna...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mpira wa Afrika umejaa figisu bila miamala hauendi. Juzi E Gine tumeshinda mbili kwa moja lakini ukiangalia penati ya Samata ilikuwa wazi kabisa Refa akatupotezea bila juhudi binafsi za wacheji...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Ni dhahiri kuwa timu ya Taifa kwasasa ipo kwenye kiwango kizuri sana (kinavutia). Leo tarehe 19.11.2019 majira ya saa 22:00 timu yetu ya taifa (taifa stars) itashuka dimbani kumenyena na Libya ni...
4 Reactions
334 Replies
28K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…