Cristiano Ronaldo afikisha magoli 700, sasa kutoka CR7 hadi, rekodi yake inaendelea kutisha

Course Coordinator

JF-Expert Member
Jul 27, 2019
1,681
3,065
Magoli Magoli Magoli 700 ,ndivyo unavyoweza kimuita Leo Cristiano Ronaldo ,CR 700 ,baada ya hapo jana kufunga goli la penati kwa Ukraine MNYAMA na mtambo wa kusimamia nyavu CR 7 AMEFIKISHA MAGOLI 700.

Magoli hayo yamekiwa kwa kuyafunga katika vilabu (team alizochezea ) vya sporting Lisbon ,Juventus ,Manchester United ,Real Madrid na Team yake ya Taifa

Goal for club and country
Magoli 450 akiwa na Real Madrid
Magoi 118 akiwa na Man Utd
Magoli 95 akiwa na team yake ya Taifa Portugal(Ureno)
Magolo 32 akiwa na club yake ya sasa Juventus
Magoli ma5 akiwa na team yake ya utotoni ya Sporting Lisbon

Tumpe zake hongera binadamu huyu wa sasa mwenye mwili wake wa mpira na macho ya kuzifumania nyavu
Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro

Image result for full name of cristiano ronaldo
 
Tukiacha ushabiki Ronaldo kwenye ufungaji ni mnyama kwel kwel sizani Kama Kuna mtu ni zaidi ya huyu kwenye hii aspect
 
Ukiambiwa Ronaldo co binadam wa kawaida uwe unaelewa msikilize Messi apo

Ronaldo 973 games

Messi. 828 games

Kuna tofauti ya game 145 ambazo Ronaldo kamzidi messi

Ronaldo goal 700 messi goal 672 tafauti ya goal 28.

Afu messi anasema hakuna mfungaji kama Ronaldo duniani.
Hayo maneno ni hekma ya uzungumzaji haiyafanyi kuwa kweli.

Kwa hekma Zaidi tunasema Messi ni messi na Ronaldo ni Ronaldo.
 
Ronaldo 973 games

Messi. 828 games

Kuna tofauti ya game 145 ambazo Ronaldo kamzidi messi

Ronaldo goal 700 messi goal 672 tafauti ya goal 28.

Afu messi anasema hakuna mfungaji kama Ronaldo duniani.
Hayo maneno ni hekma ya uzungumzaji haiyafanyi kuwa kweli.

Kwa hekma Zaidi tunasema Messi ni messi na Ronaldo ni Ronaldo.
Huwa hatujishughulishi na idadi ya mechi kwa maana km mchezaj ameshindwa kumfikia mwenzie et kisa amecheza mechi chache it's none of our business huwez kuniambia et pele amemzd maradona makombe ya dunia kwa kuwa pele alicheza michuano mingi ila maradona km na yy angecheza michuano mingi angemfikia huu ni ukosefu wa hoja mzee kwani kuhusu suala la ufungaji ipo wazi cr7 yupo juu ya Messi na co Messi tu ata Pele mwnyw hafikii ule mziki angalia idadi ya mechi alizocheza pale madrid na goli alizofunga ndo utajua kwmb suala la mchezaj kuwa na goli nyng halihusiani sn na idadi ya mechi but point yko ya mwisho ndo yenye mashiko kwmb Ronaldo abaki kuwa Ronaldo na Messi abaki kuwa Messi full stop
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom