Ngumi: All the best Mwakinyo, namtabiria kufika mbali

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,611
20,935
Bondia kutoka nchini Ufilipino Arnel Tinampay amewasili nchini Tanzania akiwa na daktari wake pamoja na mpishi wake tayari kwa ajili ya pambano litakolopigwa Novemba 29 mwaka huu katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.

75569736_3175351105873474_9196448175366340608_n.jpg
 
All the best Mwakinyo, hawakawii kusema USHINDI wako ni kwa sababu ya JPM
 
Obviously mwakinyo atashinda Hugo jamaa no was kiwango cha chini sana ukipitia rekondi zake
 
Back
Top Bottom