Klopp na Liverpool ni moto wa mabua, utazimika hivi karibuni

Mkuu, ndio maana wamefuta uzi wako wa Lecister City

Humu ndani ukionekana una go against Liverpool basi wanafuta uzi wako mpaka nashangaa

Mwisho, kabisa unayosema inawezakuwa kweli koz mwaka jana walikuwa hapa ,ila ubingwa waliusikia tu kwenye bomba.
IMG_20191111_075616.jpeg
 
Moderators naandaa uzi wangu halafu mnatoa taarifa **** siruhusiwi kutumia sehem ya postings!mnamaanisha nini?acheni udikteta!kama ni liverpool hata mi ni mshabiki sana tu ila nasema ukweli kuwa pasipo mbadala wa salah,mane firminho ubingwa utaenda city!klopp aache ubishi!asajili!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom