Kama tunamsifia ni Kipa mzuri kuliko Aishi imekuwaje Penati ya Juzi hakuidaka na Kafungwa Goli ambalo Aishi asingefungwa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
57,215
110,708
Tuache Unafiki Wewe Kiongozi (tena Mwandamizi kabisa) uliyeko hapo TFF acha Chuki zako kwa Kipa Aishi Manula kwakuwa tu umekasirika hakukupa ' Mgao ' kidogo katika ile Hela ambayo alizawadiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda.

Nakiri kwamba hapo nyuma Aishi Manula alikuwa na ' Schoolboy Mistakes 'hasa katika Udakaji kiasi kwamba hata Mimi GENTAMYCINE alikuwa ananikwaza ila baada ya Kusemwa na Kujibiidisha zaidi siyo Siri Aishi Manula wa sasa amerekebishika na amekuwa Mtamu tena hata kuliko Juma Kaseja.

Kama kawaida yangu huwa sipendi Kuliacha Jambo hivi hivi na juu juu hivyo taratibu nikaanza kufanya ' Utafiti ' wangu wa kwanini pamoja na kwamba Golikipa Aishi Manula ameshapona lakini kila Timu ya Taifa ikiitwa na Kocha Ndayiragije huwa haitwi na wanaitwa Makipa wasio na Uwezo.

Katika pitapita yangu huku na kule juu ya hili la Golikipa Aishi Manula na kwanini haitwi tena kwa Makusudi kabisa kwa sasa katika Timu ya Taifa ya Taifa Stars nikapata mambo makubwa Mawili ambapo la Kwanza ni la Kocha wa sasa na la Pili ni la Kiongozi Mwandamizi wa TFF.

Kwa upande wa Kocha ni kwamba anamchukia sana Aishi kwakuwa Yeye Kocha ana Urafiki mkubwa sana na ukaribu mno na Kipa Kaseja ambao ulianzia tokea alipokuwa Kocha wake huko KMC. Hivyo kuna ' Sumu ' Kali ya Chuki ambayo Kaseja Kamjaza Ndayiragije hadi Kumchukia Aishi.

Nikimalizia kwa upande wa TFF ni kwamba kuna Kiongozi Mwandamizi (namhifadhi kwa Kumuheshimu) alichukia baada ya Kuona hakupewa chochote kitu (10%) katika Pesa ya Zawadi ya Tsh Milioni 10 alizopewa Kipa Aishi Manula na Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.

TFF na Kocha wenu Ndayiragije fanyeni muwezavyo ila ole wenu katika Kikosi cha Timu ya Taifa Kitakachoitwa kwa Siku za baadae Jina la Aishi Manula lisiwepo. Lisipokuwepo tu nami GENTAMYCINE naenda kuweka kila Kitu hadharani hadi Kumtaja huyo Kiongozi Mwandamizi.

Haingii Akili Kipa ambaye amedaka AFCON hata kama Timu haikufanya vyema Aishi Manula anaachwa kwa sababu za ' Kipopoma / Kipumbavu ' kabisa halafu wanaitwa Makipa ambao hata katika Vilabu vyao tu hawaanzi na wanakaa Benchi kama Metacha Mnata kutoka Yanga SC.

Leo nimeanza na hili ila Siku za baadae nitakuja na Suala la 10% ndani ya Uteuzi wa Wachezaji wa Taifa Stars na Upangaji wa Kikosi. Huko napo kuna ' Upuuzi ' mwingi na mkubwa tu ila tunanyamaza tukiamini litarekebishwa lakini kumbe hilo tatizo bado lipo na tena ndiyo linazidi Kuongezeka tu.

Yaani Golikipa mwenye ' Clean Sheet ' kwa sasa nchini Tanzania kutokana na Takwimu mbalimbali za Wachambuzi kama Aishi Manula anaachwa na wanaitwa Makipa ambao wanang'aa kwa Msaada tu wa Hirizi ( Ndumba ) na Majungu yao na Fitna zao dhidi ya Kipa Aishi Manula.

Sasa kama tunamuita na Kumpenda sana Kipa Juma Kaseja kwakuwa tu anajua Kudaka sana Penati na huwa hafungiki Kirahisi imekuwaje Juzi alishindwa Kuiona ile Penati na Lile Shuti la Goli alilofungwa na kubaki akibung'aa bung'aa tu Uwanjani? Mrejesheni Kikosini haraka Aishi Manula.
 
Simba dam, ila Manula ni tatizo

Simba SC hatuna Shabiki ' Popoma ' kama Wewe tafadhali sawa? Kahangaike na Makipa wako Wawili wa Yanga SC ' wanaorogana ' kila Kukicha hadi lawama zimeshafika katika Uongozi wa Juu.
 
Hakuna kipa asiyefungika, kaseja ni bonge la kipa... Aishi pazia

Mpange katika Timu yako ya Familia ila kwa Timu ya Taifa kwa sasa nchini Tanzania Mtu ambaye ni 100% Tanzania One ni Aishi Salum Manula Golikipa kutoka Klabu Bingwa, bora na iliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu ya Simba Sports Club.
 
Aishii pazia sana kwenye mipira ya mbali.
Mtambaa wa panya ndio pazia kabisa.
Mipira inayopigwa post ndio tambara la deki kabisa.
 
Kwahiyo Juma Kaseja wako / wenu ndiyo siyo Pazia, hafungwi Mitambaa ya Panya wala ile ya Post? Kuna Watu ni ' Mapopoma ' hapa hadi najiuliza ni kwanini katika lile Tukio zima la Mchomoa Betri pale Msamvu Mkoani Morogoro hamkuwepo ili nanyi mpotee tu.
 
D

Dogo! Acha kupanic, acha kushindana na ukweli. Kama umempenda Manula nenda pale msimbazi ukampose awe bibie
kimpira hawezi kumfikia kaseja.
 
"klabu Bingwa Ilio Barikiwa Na Mwenyezi Mungu Na Inayocheza Mpira Wakiwango Kilichothibitishwa Na Shirikisho Lampira Wa Miguu Africa Inataka Kumrudisha Gorani Kopunovic Ama Pierre Rechantre Baada Ya Kumfurusha Uchebe Leo!
 
tujiulize kwanza aliepiga penalty anacheza club gani? maana vilabu haviongopi ? vilabu vikubwa vikikusajili maana yake wewe una uwezo mkubwa
 
Juma Kaseja Juma anaweza asiwe kipa mzuri ila Aishi Manula hafai zaidi kuwa Tz 1, anafungwa magoli ya kipuuzi sana! Aendelee kumpiga misumali Beno, pale kwa Muha amekwaa kisiki!
 
Ndomana napenda sana kufuatilia ligi za ulaya kuliko Bongo kule hakuna purukushani na figisu kama hizi za huku (japo chama langu Man u mambo si mambo nipo Barcelona kwa mkopo napoza machungu) kila tukipambana kuna mtu ataturudisha nyuma kwa sababu zake binafsi hatujawahi kwenda pamoja hata siku moja kwenye timu ya taifa lazima mgawanyiko utakuwepo tu na hilo ndo jiwe lililotukalia shimoni tunashindwa kupiga hatua
 
Tuache Unafiki Wewe Kiongozi (tena Mwandamizi kabisa) uliyeko hapo TFF acha Chuki zako kwa Kipa Aishi Manula kwakuwa tu umekasirika hakukupa ' Mgao ' kidogo katika ile Hela ambayo alizawadiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda.

Nakiri kwamba hapo nyuma Aishi Manula alikuwa na ' Schoolboy Mistakes 'hasa katika Udakaji kiasi kwamba hata Mimi GENTAMYCINE alikuwa ananikwaza ila baada ya Kusemwa na Kujibiidisha zaidi siyo Siri Aishi Manula wa sasa amerekebishika na amekuwa Mtamu tena hata kuliko Juma Kaseja.

Kama kawaida yangu huwa sipendi Kuliacha Jambo hivi hivi na juu juu hivyo taratibu nikaanza kufanya ' Utafiti ' wangu wa kwanini pamoja na kwamba Golikipa Aishi Manula ameshapona lakini kila Timu ya Taifa ikiitwa na Kocha Ndayiragije huwa haitwi na wanaitwa Makipa wasio na Uwezo.

Katika pitapita yangu huku na kule juu ya hili la Golikipa Aishi Manula na kwanini haitwi tena kwa Makusudi kabisa kwa sasa katika Timu ya Taifa ya Taifa Stars nikapata mambo makubwa Mawili ambapo la Kwanza ni la Kocha wa sasa na la Pili ni la Kiongozi Mwandamizi wa TFF.

Kwa upande wa Kocha ni kwamba anamchukia sana Aishi kwakuwa Yeye Kocha ana Urafiki mkubwa sana na ukaribu mno na Kipa Kaseja ambao ulianzia tokea alipokuwa Kocha wake huko KMC. Hivyo kuna ' Sumu ' Kali ya Chuki ambayo Kaseja Kamjaza Ndayiragije hadi Kumchukia Aishi.

Nikimalizia kwa upande wa TFF ni kwamba kuna Kiongozi Mwandamizi (namhifadhi kwa Kumuheshimu) alichukia baada ya Kuona hakupewa chochote kitu (10%) katika Pesa ya Zawadi ya Tsh Milioni 10 alizopewa Kipa Aishi Manula na Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.

TFF na Kocha wenu Ndayiragije fanyeni muwezavyo ila ole wenu katika Kikosi cha Timu ya Taifa Kitakachoitwa kwa Siku za baadae Jina la Aishi Manula lisiwepo. Lisipokuwepo tu nami GENTAMYCINE naenda kuweka kila Kitu hadharani hadi Kumtaja huyo Kiongozi Mwandamizi.

Haingii Akili Kipa ambaye amedaka AFCON hata kama Timu haikufanya vyema Aishi Manula anaachwa kwa sababu za ' Kipopoma / Kipumbavu ' kabisa halafu wanaitwa Makipa ambao hata katika Vilabu vyao tu hawaanzi na wanakaa Benchi kama Metacha Mnata kutoka Yanga SC.

Leo nimeanza na hili ila Siku za baadae nitakuja na Suala la 10% ndani ya Uteuzi wa Wachezaji wa Taifa Stars na Upangaji wa Kikosi. Huko napo kuna ' Upuuzi ' mwingi na mkubwa tu ila tunanyamaza tukiamini litarekebishwa lakini kumbe hilo tatizo bado lipo na tena ndiyo linazidi Kuongezeka tu.

Yaani Golikipa mwenye ' Clean Sheet ' kwa sasa nchini Tanzania kutokana na Takwimu mbalimbali za Wachambuzi kama Aishi Manula anaachwa na wanaitwa Makipa ambao wanang'aa kwa Msaada tu wa Hirizi ( Ndumba ) na Majungu yao na Fitna zao dhidi ya Kipa Aishi Manula.

Sasa kama tunamuita na Kumpenda sana Kipa Juma Kaseja kwakuwa tu anajua Kudaka sana Penati na huwa hafungiki Kirahisi imekuwaje Juzi alishindwa Kuiona ile Penati na Lile Shuti la Goli alilofungwa na kubaki akibung'aa bung'aa tu Uwanjani? Mrejesheni Kikosini haraka Aishi Manula.
Wewe Mikia FC kusifia tu wachezaji wako na kukandia wa Yanga, si umuite wewe kwenye timu yako kitaa.
 
Huyo Manila unayeamini hafungiki mbona alifungwa magoli 17 kwenye mechi sita tu. Magolikipa wa Tanzania wanalingana kiuwezo, huyo Manula hata kwenye ligi ya ndani tu mashabiki wa Simba huwa wanamlalamikia. Unasema alifungwa penati, je! Katika kujua kwako mpira kuna kipa ambaye aliishaokoa penati zote alizopigiwa ?
 
Back
Top Bottom