Yuko wapi Gidabuday

Nini kikamkuta Bayi kutokana na fitna za Gidabuday?
Mrija wa pesa kutoka olimpiki alizokuwa anazipiga sasa hivi umekatwa.
Fuatilia threads zilizohusu mnyukano wao miaka ya nyuma kidogo
 
Imebidi niulize hapa jukwaani maana katibu mkuu wa chama cha riadha tanzania hasikiki kitambo sasa.
Alishajiuzuru miezi kama 2 sasa iliyopita baada ya kuona wanamhujumu na kumkwamisha makusudi
 
Mrija wa pesa kutoka olimpiki alizokuwa anazipiga sasa hivi umekatwa.
Fuatilia threads zilizohusu mnyukano wao miaka ya nyuma kidogo
Sasa ameikimbiaje nafasi aliyoiomba na kupigiwa kura?
Je aliueleza mkutano mkuu wa shirikisho la riadha juu ya hujuma ama kukwamishwa na watendaji wenzie?
 
Alishaondoka RT zaidi ya mwezi sasa na aliaga kwa heshima zote. Anajielewa sio king'ang'anizi wa madaraka.
Inaweza ikawa sio kujielewa bali ubadhirifu wa pesa!! Tusubiri michango ya members
 
Kwa maelezo yake alisema BMT walikuwa wanamfanyia figisu kupitia watu wa RT ili afail
Bmt huwa hawaingilii shughuli za siku kwa siku za vyama/mashirikisho ya michezo nchini, yeye akiwa katibu mkuu, mtendaji mkuu alikwamishwa nini?
Au alitarajia kuna kuiba kakutana na wababe!
 
Bmt huwa hawaingilii shughuli za siku kwa siku za vyama/mashirikisho ya michezo nchini, yeye akiwa katibu mkuu, mtendaji mkuu alikwamishwa nini?
Au alitarajia kuna kuiba kakutana na wababe!
Nikweli,ila kuna vitu ambavyo kama katibu akiandikia BMT kama serikali nilikuwa vinakwama,nitakutafutia clip yake nikuwekee hapa hope utamsikia mwenyewe vizuri mkuu
 
Imebidi niulize hapa jukwaani maana katibu mkuu wa chama cha riadha tanzania hasikiki kitambo sasa.
Jamaa alikuwa anaongea huyo kila siku kwenye vyombo vya habari kupondea viongozi wa riadha ila baada ya kupewa uongozi (mrija wa upigaji) katulia tuli
 
Habari zisizo rasmi na wadau hawako tayari kuhusishwa nazo ni kuwa Jamaa alikuwa anakwiba kiaina pesa za RT.

Daah nimechoka kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom