Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Penye moshi kuna moto, muda sio mwingi Mh. MO atakaa pembeni maana inaonekana anatoa pesa yake kishingo upande. Kuna siku alisemega kuwa 20 bil zake zinaweza kununua bank, na sasa anasema 4bil...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Binafsi me ni mshabiki wa Simba na namna timu yangu inavyocheza ni ngumu Sana kupata matokeo mechi za mikoani tupo slow, atutumii energy kubwa kwenye game na ukiangalia na mbao wanavyocheza Leo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kazuyoshi Miura: Japanese striker, 52, signs new Yokohama FC contract Kazuyoshi Miura made his professional debut in 1986 - the year MK Dons manager Russell Martin was born Japanese striker...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kushabikia hizi timu kuna raha sana hasa mtani wako akifungwa furaha inazidi kua maradufu. Juzi Simba walikua wanalia leo wanacheka huku Yanga wakilia na si ajabu leo jioni Yanga wakacheka tena...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Yanga ikifungwa basi Refa kaibeba timu pinzani,Je na leo Kagera kabebwa na Refa? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Simba akiwa mbele kwa mchezo mmoja tu; Yanga wako nafasi ya 8 Yanga iko nyuma kwa point 10 Goal difference ya Simba ni 24 huku ile ya Yanga ikiwa ni 3. Swali la kujiuliza Yanga wanapata wapi...
4 Reactions
9 Replies
4K Views
Huyu kocha mzungu inawezekana asidumu kabisa maana analeta mambo ya ubishi. Wachezaji leo waliambiwa namna ya kufanya ili washinde na kamati ya Ufundi. Kocha amekataa yale masharti anasema...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Sio muda kidomodomo cha kutoa sare na timu kubwa Simba Sc kitakwisha. Eeeh Mungu nisaidie ombi langu. Striker katili MK 14 akiwa na "hirizi " yake shingoni akielekea Zanzibar na wenzake leo mchana
6 Reactions
156 Replies
16K Views
Sizungumzii matokeo ya juzi kati ya Simba na mtani wetu Yanga bali hizi ni lawama za muda mrefu kwamba kocha mkuu hua anaingiliwa majukumu yake, kwanza ya kuchagua wachezaji wanaosajiliwa na pili...
6 Reactions
50 Replies
6K Views
Usiku mmoja wa 1987 kitongoji cha Rosario Centro nchini Argentina alizaliwa Lionel Andres Messi Cucittini 'La Purga' binadamu mmoja mlaini na mfupi aliyekuja duniani kutueleza mana ya soka. . Wala...
9 Reactions
16 Replies
3K Views
Sijawahi ona timu ya hovyo hivi,wataloga hata kutembea uchi,watasajili bwembwe kukutana na dro ila uwezo mdogo,aibu sana Sent using Jamii Forums mobile app
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Wadau tupeni updates mbona kimya...wengine bado tupo magengeni! ==== SIMANZI na hali ya sintofahamu imeanza kuingia pale Msimbazi. Ndio, Simba imepoteza taji la kwanza msimu huu...
3 Reactions
340 Replies
29K Views
Ni wachezaji wasiojituma, na ninapendekeza mishahara ipunguzwe sana. Hii ngozi nyeusi ukiwapa pesa ndefu wanalewa kiburi; si ajabu hata hawajitumi mazoezi binafsi. Sent using Jamii Forums...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Naomba mnijuze kama ni kweli kombe la mapinduzi halina kugombea mshindi wa tatu, ratiba haionyeshi pambano la kutafuta mshindi wa tatu, kama ni hivyo basi Simba na Yanga haziwezi kupambana maana...
2 Reactions
9 Replies
5K Views
Mo hakuwa na dhamira ya kujiuzulu nafasi yake ya uenyekiti wa bodi ya wakurugenzi baada ya kipigo cha Mtibwa isipokuwa alitaka kupoteza akili za mashabiki kindakindaki wa Simba wanaoamini SIMBA NI...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Hili gazeti letu pendwa matangazo ya freemason yamekuwa mengi,imekuwa kama bango la wale waganga wa jadi na matapeli kuwekea matangazo ya freemason, kila kurasa za kati hadi mwisho hayo matangazo...
6 Reactions
12 Replies
3K Views
FC Barcelona imethibitisha kumuajiri kocha wa zamani wa klabu za Real Betis pamoja na Racing Santander, Quique Setién kuchukua nafasi ya Ernesto Varverde aliyevunja mkataba na klabu hiyo. Setien...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Huyu kocha wa Simba hana jipya kabisa. Ameharimu mfumo mzuri ulotengenezwa na Uchebe. Mfumo anaoutumia unamficha Kagere. Viongozi wa Simba mrudisheni Uchebe. Hivi huyu kocha ataweza kutufanya...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Nyie fc guruguja hamna utani kabisa yan mmeweka full kikosi..ina maana hadi vikombe vya uji mnavitaka???.. kudadeki yaan mmekitolea macho hamna masikhara kabisa
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Back
Top Bottom