Gazeti la msimbazi na matangazo ya freemason

Proved

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,060
2,000
Huyo ni tapeli wa mjini hana jipya.

Pesa mbaya sana. Alikuwa mpinzani wa kampuni hadi Mo alipojiongeza na kumpa chake. Kelele za club kuilea kwa kuuza vitumbua na chapati zikaishia hapo. Sasa ni Board Member. Pesa ni tamu.
😂😂😂 Njaa ilikuwa inamsumbua yule.
 

babu na mjukuu

JF-Expert Member
Jun 23, 2016
2,672
2,000
Hili gazeti letu pendwa matangazo ya freemason yamekuwa mengi,imekuwa kama bango la wale waganga wa jadi na matapeli kuwekea matangazo ya freemason, kila kurasa za kati hadi mwisho hayo matangazo yamejaa na yamekaa kitapeli tu,kwanini wahariri wanaruhusu huo upuuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Simba wenyewe ndio imani yao,na hao wanaoyaleta ndio waganga wao. Vipi wawakatalie. Nao wakigoma kumpa Kagere hirizi itakuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom