Quique Setién: Kocha mpya wa FC Barcelona. Ernesto Valverde Out!

FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
May 27, 2016
5,416
7,828
FC Barcelona imethibitisha kumuajiri kocha wa zamani wa klabu za Real Betis pamoja na Racing Santander, Quique Setién kuchukua nafasi ya Ernesto Varverde aliyevunja mkataba na klabu hiyo.

Setien amesaini mkataba wa miaka miwili na nusu ili kuifundisha FC Barcelona.

====

1578977955418.png


OFFICIAL: Barcelona have confirmed Quique Setién has been appointed as the new head coach on a two-year contract.

In a statement, Barca said they had reached an agreement with Valverde to terminate his contract and thanked him "for his professionalism, his commitment, his dedication and his always positive treatment towards all that make up the Barca family".

Setien, 61, led Betis to their highest finish since 2005 and to the Copa del Rey semis before leaving in May. [BBC]

====

Who is Quique Setién?

🔹 Ex-Betis and Racing coach.
🔹 Plays flamboyant attacking football.
🔹 20 years experience coaching Spanish teams.
🔹 Says Messi is the best player in the world.
 
Chekini mpira wake na tactics zake....yuko vizuri mazee kawatoa las palmas kutoka kutaka kushuka daraja mpaka kumalza wa 11 Kwenye ligi...akawakuta betis wanasuasua msimu wake wa kwanza tu akawapaisha hadi nafasi ya 6...ila achana na namba huyu jamaa hata mpira anaofundisha ni mtamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom