HPAUL
JF-Expert Member
- Jan 18, 2011
- 410
- 567
Naomba mnijuze kama ni kweli kombe la mapinduzi halina kugombea mshindi wa tatu, ratiba haionyeshi pambano la
kutafuta mshindi wa tatu, kama ni hivyo basi Simba na Yanga haziwezi kupambana maana Yanga tayari imeshatolewa na Mtibwa
Sent using Jamii Forums mobile app
kutafuta mshindi wa tatu, kama ni hivyo basi Simba na Yanga haziwezi kupambana maana Yanga tayari imeshatolewa na Mtibwa
Sent using Jamii Forums mobile app