Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

MICHEZO: Dkt Jonas Tiboroha, Meneja wa Simon Msuva, mchezaji wa Taifa Stars, amesema Msuva amejiunga na klabu ya Benifica ya Ureno kwa mkataba wa miaka 3 akitokea klabu ya Difaâ El Jadidi...
26 Reactions
93 Replies
17K Views
Maana hali ni mbaya watu tunakosa amani mtaani, sasa jamaa hata penalt hafungi yaani muoneeni huruma.
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Katika Mkutano wa klabu ya simba leo mwekezaji wa klabu hiyo ameeza kuwa haridhishwi hata tone na nidhamu ya baadhi ya wachezaji wetu nje ya uwanja. amefafanua kuwa amekuwa mnyonge kuona uwekezaji...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Huyu mdau anasemaje? Jicho langu: TATIZO LA SIMBA LINAJENGWA NA VIONGOZI Hakuna anayeweza kubisha kuwa simba ndiyo timu yenye wachezaji bora kwa sasa Afrika Mashariki, Simba inao wachezaji wa...
7 Reactions
22 Replies
3K Views
  • Closed
Muda mfupi baada ya Simba kupoteza fainali ya kombe la mapinduzi dhidi ya Mtibwa, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba ametangaza kujiuzulu katika nafasi hiyo na kubaki kuwa mwekezaji tu...
6 Reactions
329 Replies
41K Views
La Parka: Afariki baada ya kuanguka wakati wa pambano Nguli wa mieleka, anayeitwa Jesús Alfonso Huerta Escoboza, maarufu kama La Parka amefariki baada ya kunguka katika uwanja wa mieleka La...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
ALISHTUKIA MAPEMA Alipoulizwa amechukuliaje uamuzi wa kufutwa kazi, Aussems alisema; “Ni muda mrefu nilikuwa najua tutafikia hatua hii kati yangu na Simba. Ni muda mrefu walikuwa wanataka kukata...
13 Reactions
34 Replies
5K Views
Nchi hii imejaa waandishi wa habari na watangazaji uchwara sana wakiongozwa na huyu shafii pamoja na osca osca yaani vichwani watupu kabisa, unaweza ukajiuliza hawa jamaa wanauwezo gani wa...
5 Reactions
89 Replies
13K Views
Ni sahihi kwamba msemaji wa club ya Yanga bwana Antonio Nugaz hana hadhi ya kujadiliwa humu JF. Ila pale inapobidi ni lazima kufanya hivyo. Binafsi nimekuwa nikimpuuza na kauli zake za hovyo na...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Tuliopo Znz leo tujitokeze kwa wingi uwanjani kuipa support timu hii ili iweze kurudi morogoro na taji Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
43 Replies
3K Views
Wakala wa James kotei ameikatalia club ya kaizar chief kumtoa kotei kwa mkopo kwenda yanga Awali uongozi wa yanga kwa kushilikiana na mdhamini wao GSM walikubaliana na kaizer chiefs kumtoa nyota...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu huu ni ukweli na ukweli lazma usemwe, Winga machachari wa Yanga na Taifa Stars anakwea pipa kwenda kucheza soka huko nchini Morocco. Sioni ni jinsi gani Msuva anaweza akumudu kumaliza miezi...
6 Reactions
56 Replies
6K Views
Alijifanya kututosa, wachezaji hawatakagi kuishi maisha na mapenzi yao. Wajinga sana...
1 Reactions
3 Replies
941 Views
Leo ilikuwa ni fainali ya Kombe la Mapinduzi. Mlijiamini kwa asilimia 100 kuwa kombe mnalibeba mkasahau kuwa mpira ni dakika tisini. Poleni sana. Binafsi naona kuwa mlifanya uamuzi usio wa busara...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hakika ngozi nyeusi ni nyeusi hata uifanyie jema gani. Wachezaji wa Simba ndio wanaoongoza kulipwa pesa nyingi na uongozi wa klabu ya Simba kuliko klabu yoyote Tanzania. Kutokana na kulipwa huko...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Na *MÖÑTÉLO 10* Ni Jambo la heri kuendelea kuwa hai mpaka sasa tuko mwanzoni kabisa mwa karne nyingine dunia Nayo haiko nyuma kuacha kujizungusha katika mhimili wake. Maisha yanaenda kasi sana...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Hii Ilikua jana kati ya Spurs vs Liver, SON alikosa bao moja la wazi mzee wa watu ikabidi apige magoti [emoji23][emoji23].
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimekuta mjadala sehemu moja hawa vijana wanaotamama wasafi TV wakimsifu role modal wao kwamba anataka kuinunua yanga na kwamba hizo pesa wanazonunua wachezaji ni sehemu ya pesa aliyotoa. Naomba...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Serikali ya Naijeria imethubutu kwa kutoa tamko kwamba wanakwenda kutoa ruhusa kwa makampuni ya vizimbuzi nchini humo kuwa na haki ya kumili ki maudhui ya urushaji Epl na Uefa na si DStv pekee...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom