Manu inatia huruma haina tena mvuto mashabiki wake wengine wamejificha kwenye timu zingine. timu yenye thamani kuliko timu zote duniani, timu yenye mashabiki kuliko timu zote duniani inakufa nini...
Hadi kufikia leo tarehe 20 January 2020 mchezaji wa ndani wa Man United Jesse Lingard ktk mmsimu wa EPL wa 2019/20 anazidiwa goal assist na golikipa wa Liverpool Alisson Becker, baada ya mchezaji...
Habar wadau, Mara nyingi mchezaji anaposajiliwa hupimwa afya akifuzu ndio husajiliwa ,naomba kuulza ni vitu/mambo gan hupimwa kwa mchezaji husika ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikiri hapo kesho Tanzania apangwe na timu zipi ili atoboe?!!!!
NB: Kila pot inatoa timu moja kuunda kundi la timu nne.
Sent using Jamii Forums mobile app
Natoa wito kwa TFF na hata club ya Yanga,kumdhibiti kocha Luc mapema iwezekanavyo. Nimemsikiliza mahojiano yake baada ya kupigwa na Azam ameonyesha dhahiri kwamba ni kiburi na mzushi kuliko...
Bondia Floyd Mayweather ametangaza pambano la marudiano na Conor McGregor kuwa litafanyika mwaka huu 2020. Kupitia instagram akaunti yake Floyd ameanika hilo kwa kuweka picha inayoonekana juu...
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom Premier League VPL, Kuendelea kupigwa tena leo January 19, 2020 ambapo Alliance FC, wakiwa nyumbani wanawakabili Mabingwa wa Nchi Simba SC, Mnyama Mkali...
Huyu mchezaji anayecheza juventus ni wazi wakati wa kutundika daluga umefika ila bado anataka kubishana na mwili wake
Akili inataka mwili hautaki,
Siku hizi uwanjani amegeuka mdhururaji...
Wakuu Habari zenu?
Wamenishangaza hawa mashabiki wa Manchester United,Yaani leo kabla ya mechi yao na Liverpool walikuwa wanamini watashinda hiyo mechi,nikawa najiuliza hawa kunanguvu tofauti...
Wakuu, nasikia klabu ya Simba inafukuzia asilimia ishirini toka kwa klabu ya T. P. Mazembe kwa mchezaji wake (Mazembe) Mbwana Samata kuuzwa (?) Ubelgiji. Hivi historia ya mchezaji huyo tumeambiwa...
Baada ya Sadio Mane kuporwa goli lake na VAR, eti paja sijui kwapa lake limezidi last defense line humu jukwaani na JF na mitandao mingine imekuwa kimya kabisa.
Mara ya pili hii VAR inasema...
Irishman Conor McGregory anatarajiwa kupanda Octagon kupigana na Mmarekani Donald Cerrone 'Cowboy' mnamo jumapili alfajiri kwa masaa ya EA. Ni pambano linalokuja baada ya Conor kukaa nje ya ulingo...
ILEE, Patashika ya ligi kuu Tanzania kuendelea kupigwa leo January 18, 2020, ambapo Azam FC Wanalamba lamba, wakiwa na alama 29 kwa michezo 14, wanawakaribisha Yanga SC Wanajangwani, wenye alama...
1. Je ni kweli Mo anajaribu kuwa mkubwa kuliko timu ya Simba SC; au ni kweli Mo akiachana na Simba SC, timu hiyo itayumba na kukosa mustakabali elekezi?
2. Je kuna mafanikio gani ambayo Simba SC...
Ukiondoa majeraha yaliyomkumba siku za karibuni, nini kimemsibu straika huyu wa Kitanzania tuliyeaminishwa ana kipaji kikubwa kiasi cha kwamba angeweza kucheza klabu yoyote kubwa barani ulaya...
January 18, 2020
Dar es Salaam, Tanzania
Azam 1 - Young Africans 0
Kocha wa mkuu wa Yanga mbelgiji Luc Eymail atokwa povu na kulia kufuatia vipigo ktk mechi mfululizo. Na matokeo ya leo Kocha...
Hebu tujadiri hili swala GSM naona anamwaga sana pesa yanga kwenye kununua wachezaji na hata motisha timu kila inaposhinda je ni kwa kuwa ni mdhamini ama kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia...
Nilitaka kuamini kwamba tukio la kutekwa kwa Mo limepita na basi yeye alishaamua kuachana nalo na kuendelea na biashara zake.
But lately naona dalili zote za PTSD - Post Traumatic Stress...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.