Mungu nikutanishe na Yanga SC huko Mapinduzi Cup

Mungu nikutanishe na Yanga SC huko Mapinduzi Cup

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,433
Reaction score
139,504
81582735_1567156930117209_8546764501318369280_o.jpg


Sio muda kidomodomo cha kutoa sare na timu kubwa Simba Sc kitakwisha. Eeeh Mungu nisaidie ombi langu.

82077894_2721322431288947_6047468326777520128_o.jpg

Striker katili MK 14 akiwa na "hirizi " yake shingoni akielekea Zanzibar na wenzake leo mchana
 
Mtani huwa unaandikaga kwa masham sham kabisa nyuzi zako lakini mwisho wa siku unatukimbia. 😀😀

Hebu nenda kajibu quotes za kwenye ule uzi wako wa siku ile ambao hadi leo hujatujibu kule. 😎😎
 
Back
Top Bottom