Hahaha,Yanga kupania simba tu hovyo

Mi nimeshangaa sana yaani match ile walionyesha kabisa kuwa hawakuwa tayari kufuzu kwa kuogopa kukutana na simba
 
Chief coach Luc aliwaambia wachezaji tunarudi Dar kesho sasa ulitaka wachezaji washinde..kabla ya tarehe 16 na Kagera sugar anataka kuwafahamu wachezaji
 
Mi nimeshangaa sana yaani match ile walionyesha kabisa kuwa hawakuwa tayari kufuzu kwa kuogopa kukutana na simba
Hivi hakutakuwa na mshindi wa tatu, yaani Simba nao wakidundwa wanakutana kutafuta mshindi wa tatu ama?
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom