Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Naona wengi wanamtupia lawama kocha, kiukweli kocha hana makosa, makosa yapo kwa wachezaji. Kwa mfano goli kama alilojifunga Ally Sonzo utamlaumuje kocha!....mipira inafika kwa mastrika hawafungi...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Sheria za FIFA zinaainisha mchezaji akihama kutoka timu moja kwenda nyingine kila timu aliyocheza itapata mgao wao kutoka kwenye pesa za usajili. Kama tunavyojua Samatta kabla ya kwenda Simba...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Wakati homa ya mchezo wa Watani wa Jadi, Simba na Yanga ikiendelea kupanda huku zikiwa zimebaki saa chache, Mashabiki na Wachezaji wa timu hizo wameendelea kutambiana kuibuka na ushindi Simba...
4 Reactions
719 Replies
78K Views
Hii kwa mimi kama mtanzania mwenzao sijapendezwa na sio ustaarabu wa watu walio na hekima,ya nini kwenda kuvamia site za watu na habari na kuzitolea lugha ya matusi kiasi kile,ili hali tu kutaka...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Aman itamalaki Kwa usajil huu unaoendelea pale msimbazi kisajili wachezaji wasio na mbele wala nyuma na kuwaongezea mikataba wachezaji waliojichokea basi simba poleni sana Kocha mtamfukuza...
5 Reactions
43 Replies
11K Views
Mwenyekiti wa Yanga Mshindo Msolla sijui yupo Yanga kufanya nini. Hivi maamuzi ya kumleta kocha mpya yamefanywa na nani? Usajili wa wachezaji km YIPE umefanywa na nani maana ni kama anapelekeshwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Utafiti unaonyesha kwa sasa nchini Tanzania mashabiki wa yanga ndio watu wenye huzuni zaidi nchini. Na hii inatokana na wao kutopenda kuchomoa pindi wanapochomekwa kimoja au viwili Hakika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mbwana Ally Samatta work permit: What Aston Villa must do to secure Tanzanian striker Aston Villa transfer news | Here's how Samatta's work permit situation will work out SHARE BY JAMES RUSHTON...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Huyu Ndie Shujaa wetu! Watanzania Tunakupenda. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Mjini hakukaliki, Yanga tangu wamepata sare na Simba wameshangilia sana matokeo hayo kama vile ambavyo Simba ingeshangilia kupata sare na Real Madrid. Je, ni kweli kuwa kiwango cha Yanga kwa sasa...
3 Reactions
38 Replies
5K Views
Ni jambo la wazi kwamba simba inapendwa Sana Tanzania kuliko club yoyote ile. Yanga ina WAPENZI wachache ukilinganisha na Simba pamoja na kulazimisha kupendwa kwa kujiita eti ni timu ya wananchi...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Baada ya tetesi kwamba kasaini Yanga, leo yeye mwenyewe kathibitsha hawezi kuacha kurudi nyumbani. Sent using Jamii Forums mobile app ===== Hapa chakuangalia labda kiwango chake Kama kipo...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Huyu ndie aliye leta habari zinazo onekana ni za uongo kuhusu Msuva ametupa pressure na furaha ya uongo sijui lengo lake hasa ni nini. Unaweza kuta hata Rais wa nchi naye alishngilia kuhusu...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wadau wa soka..!! Ukiwa msimu mpya ligi kuu Tanzania Bara Vodacom Primier League (VPL)Umeanza baada ya Msimu uliopita kumalizika na Bingwa kuwa Simba Sc. .. Ikumbukwe msimu uliopita...
5 Reactions
56 Replies
9K Views
Mpk saa hii ni dakika ya 70! Kagera wako mbele Kwa bao 2. Watani zangu mpira hauna mwenyeji! Ligi kuu inaendelea kunoga! FT: Yanga Kala miguu ya bajaji Aina ya TVS Yanga 0-3 Kagera suger...
9 Reactions
120 Replies
15K Views
Mengine yanaumiza hayasemeki. Nafurahi kuona boss Mo is back na amekiri yaliotokea jana n bahati mbaya yameisha back to league. Yule ni mtu mzima ana moyo wa binadamu jamani; hana moyo wa...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Patashika ya ligi kuu Tanzania Kuendelea kupigwa leo January 16, 2020 kunako Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza ambapo Mbao FC wakiwa nyumbani wanawakaribisha Mabingwa wa Nchi Simba SC. Mchezo...
7 Reactions
120 Replies
12K Views
Sikujua majirani wamejitutumua na kuwa na timu ya mpira wa vikapu (basketball), ila wakathubutu kuisogelea Kenya na kuingia kwenye kumi na nane zetu, kichapo walichokipa nadhani watasimuliana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mbwana Samatta huenda akawa mchezaji wa kwanza wa Tanzania kuchezea Ligi Kuu ya Uingereza (EPL). Timu za ligi hiyo za Brighton, Crystal Palace na Norwich wote wameonesha nia ya kumsaini...
6 Reactions
25 Replies
4K Views
Back
Top Bottom