Maamuzi ya Mo siku za karibuni yanaonyesha hana utulivu wa nafsi!

Paul Alex

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
4,240
9,527
Nilitaka kuamini kwamba tukio la kutekwa kwa Mo limepita na basi yeye alishaamua kuachana nalo na kuendelea na biashara zake.

But lately naona dalili zote za PTSD - Post Traumatic Stress Disorder. Mo amepoteza confidence na ni kama maamuzi mengi anafanyiwa na mtu.

Wazungu wanasema kama kuna jambo kubwa limetokea na unataka kulijua vizuri, fuatilia pesa - Follow the money!

Sasa tusaidiane kuunganisha dots.

1. Nadhani wengi tunadhani mhusika nyuma ya kutekwa kwa watu na watu wasiojulikana tunamjua.

2. Mo ametekwa na amerudi kwenye mazingira yenye maswali mengi bila majibu mpaka sasa.

3. Mwaka ambao Mo ametekwa anapost hasara ya karibu billion 700.

4. Yule tunayemdhania kuwa boss wa wasiojulikana anakuwa tajiri ghafla na kuanza kutoa misaada mbalimbali kwa watu na Chama.

5. Baada ya Mo kujiuzulu na ghafla kujirudishia uenyekiti wa bodi ya timu, mtu huyo anatokea tena kwa kuteuliwa na Mo kama Mshauri Mkuu wa club.

Kuna mtu anaweza kunisaidia kuunganisha hivi vitu?

Sielewi elewi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitabu cha Yeriko nyerere cha Ujasusi wa kidola na kiuchumi kina majibu yote ya hayo unayojiuliza!!!Kumbuka pia kwa mujibu wa mchango wa ndugu humu jukwaani "Wasiojulikana wakikuteka wanakulawiti na kukurekodi ili usiseme!"Kwa kawaida ukipigiliwa msumari jichoni huwezi kuwa sawa hata siku moja!!!!
 
Pia ujasusi wa kidola haufuati sheria na taratibu za nchi ndo mana ni vigumu kuukomesha wala kushtaki popote pale!!sio sawa na Ujasusi wa kitaifa ambao hufuata taratibu zake!!!!!UJASUSI WA KIDOLA HUUA WATU,HUPORA HATA KUAIBISHA WATU WANAOSHUKIWA KUHUJUMU DOLA!!!MO NI MHANGA WA HAYO YOTE!!!BORA YEYE AMEACHIWA UHAI WAKE!!!KUNA WENGINE WAMETANGULIZWA HASA WAZAWA!!HAWA WENYE ASILI YA HUKO WANATIWA HASARA TU ILI WAKAE KWENYE MSTARI!!!!KAMA MANJI,MO NA SHETH!!!
 
'3.Mwaka ambao Mo ametekwa anapost hasara ya karibu billion 700'

Impossible,akipoteza Tsh.bil 700 yeye utajiri wake ni Tsh ngapi?

IMPOSSIBLE

dodge
 
Nilitaka kuamini kwamba tukio la kutekwa kwa Mo limepita na basi yeye alishaamua kuachana nalo nakuendelea na biashara zake.
But lately naona dalili zote za PTSD - Post Traumatic Stress Disorder.
Mo amepoteza confidence na ni kama maamuzi mengi anafanyiwa na mtu.

Wazungu wanasema kama kuna jambo kubwa limetokea na unataka kulijua vizuri, fuatilia pesa - Follow the money!

Sasa tusaidiane kuunganisha dots...
1.Nadhani wengi tunadhani mhusika nyuma ya kutekwa kwa watu na watu wasiojulikana tunamjua.

2.Mo ametekwa na amerudi kwenye mazingira yenye maswali mengi bila majibu mpaka sasa.

3.Mwaka ambao Mo ametekwa anapost hasara ya karibu billion 700.

4.Yule tunayemdhania kuwa boss wa wasiojulikana anakuwa tajiri ghafla na kuanza kutoa misaada mbalimbali kwa watu na chama.

5.Baada ya Mo kujiuzulu na ghafla kujirudishia uenyekiti wa bodi ya timu,mtu huyo anatokea tena kwa kuteuliwa na Mo kama mshauri mkuu wa club.

Kuna mtu anaweza kunisaidia kuunganisha hivi vitu?
Sielewi elewi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Najuta kuandika neno free Mo.

usemacho kinajionyesha wazi, MO anachoakiwa atoke akapumzike nje ya NCHI kwa muda huenda atatulia, lkn ni wzi BASHITE KASIKA AKILI ZA HUYU MTU, na hakuna mwisho mwema baina ya hawa wawili.
 
Mh. Rais Magufuli alisema watu kama ninyi mnatakiwa kupelekwa Polisi mkasaidie ushahidi. Tusikusikie ikilalamika!!
 
'3.Mwaka ambao Mo ametekwa anapost hasara ya karibu billion 700'

Impossible,akipoteza Tsh.bil 700 yeye utajiri wake ni Tsh ngapi?

IMPOSSIBLE

dodge
Mkuu mng'ato, hiyo Tsh700 bilioni ni kama $300 na ushee milioni tu.

Kama yeye ni Bilionea wa 'Dallali', bado anazo zaidi ya $700 milioni. Hiyo bado sio pesa ndogo!
 
Maamuzi ya hovyo kutoka kwa kiongozi wa hovyo , Bashite awe mshauri Mkuu wa Simba hapana Mudy hapa umechemka sana.
 
Back
Top Bottom