January 18, 2020
Dar es Salaam, Tanzania
Azam 1 - Young Africans 0
Kocha wa mkuu wa Yanga mbelgiji Luc Eymail atokwa povu na kulia kufuatia vipigo ktk mechi mfululizo. Na matokeo ya leo Kocha Luc Eymail baada ya mechi ametoa tuhuma nyingi zikiwemo kupewa kadi ya njano, yeye kocha kufanyiwa ubaguzi wa rangi kwa refa kukataa kumpa mkono , maamuzi mabovu ya marefa .
Inaonekano kocha huyu kwa pressure iliyoko ktk klabu, utamaduni wa vilabu vikongwe Tanzania, wanachama na wapenzi wa klabu hiyo kongwe anaweza akatupiwa virago ndani ya siku chache.