Nilimkataa Ali Sonso toka fununu za usajili wake

Kamgomoli

JF-Expert Member
May 3, 2018
1,865
3,800
Naweza sema Zahera katuachia msala mzito sn. Aliwakuta wachezaji wazuri akajifanya mjuaji,akaruhusu wachezaji wazuri kuondoka huku akituaminisha kuleta wachezaji kiboko yao. Wachezaji wenyew ndo hao akina Ali Ali, Ali Sonzo, Molinga nk. Nipo Iringa. Nilipata muda mwingi wa kumtazama Ali Sonzo alipokua Lipuli. Mechi nyingi za Lipuli alikua anatokea bechi. Mara chache sn ndo alianza.Ana umbo zuri lakin hana mpira mguuni. Muda wote anauogopa mpira na nilishangaa kuskia Yanga wamemsajili. Umbo la Sonso linawadanganya sn makocha hasa kutoka ulaya. Si Zahera peke ake hata Amonike aliingia chaka kwa Sonzo. Msitegemee Sonzo kubadilika ndo kiwango chake kimeishia hapo. Bahati mbaya Yanga kwa ss haiwezi badili chochote. Wasubiri msimu ujao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata mimi najiuliza mkuu.. hao waliokuwa wanamfanyia majaribio walikuwa wanaangalia kitu gan...

Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga inahujumiwa mnajifanya hamuoni Nado kacheza mpira wa ndondo unaendaje kumvaa kipa alafu refa anaona..mechi ya Kagera mtu kaanguka chini watu wanajua faulo anaacha advantage..mbona jana Kaseke kaangushwa na mpira huko Yanga yule refa mwenye mimacho na misikio anapiga filimbi
 
Tatizo la Yanga na baadhi ya timu kubwa ni kudhani kocha mzungu ndo kocha mzuri. Huu ni utumwa wa akili ambao utaendelea kututafuna. Tangu waanze kufundisha impact yao kwa timu na utengenezaji wa viwango vya wachezaji ni mdogo sana. Yanga kabla ya mzungu timu ilisha-take momentum ya kujiamini na kushinda mara pa kaja kocha mpya. Timu imeanza upya kutafuta first 11 katikati ya ligi. Lazima ifike mahali tufanye vitu vyetu wenyewe, hakuna sababu timu haichezi mashindano ya kimataifa lakini imejaza mapro feki na makocha wazungu.
 
Hans mabena mkia lia lia yule,halafu kule mezani ndo kulikua na kamisaa mkia wa kugala gala
Yanga inahujumiwa mnajifanya hamuoni Nado kacheza mpira wa ndondo unaendaje kumvaa kipa alafu refa anaona..mechi ya Kagera mtu kaanguka chini watu wanajua faulo anaacha advantage..mbona jana Kaseke kaangushwa na mpira huko Yanga yule refa mwenye mimacho na misikio anapiga filimbi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga inahujumiwa mnajifanya hamuoni Nado kacheza mpira wa ndondo unaendaje kumvaa kipa alafu refa anaona..mechi ya Kagera mtu kaanguka chini watu wanajua faulo anaacha advantage..mbona jana Kaseke kaangushwa na mpira huko Yanga yule refa mwenye mimacho na misikio anapiga filimbi
Kwa mechi mbili tulizofungwa marefa wamefanya makosa ya kawaida Sana, lazima tuwe wakweli maamuzi ya kiuongozi ndio yanaathiri timu. Matukio yote hayo uliyoyataja ni ya kawaida Sana kwenye mpira wa miguu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli nlidhani nimeona peke yangu kuwa kipa alipo kuwa anaokoa kulikuwa na mchezaji wa azam mbele ya kipa.
Yanga inahujumiwa mnajifanya hamuoni Nado kacheza mpira wa ndondo unaendaje kumvaa kipa alafu refa anaona..mechi ya Kagera mtu kaanguka chini watu wanajua faulo anaacha advantage..mbona jana Kaseke kaangushwa na mpira huko Yanga yule refa mwenye mimacho na misikio anapiga filimbi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom