Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kutokana na maarifa, uwezo na umakini wa kutosha wa hawa miamba ya Munich Bavaria, ni dhahiri kuwa wanaenda kubeba ndoo ya UEFA. Ni timu pekee duniani yenye uwezo wa kucheza away games ikiwa...
8 Reactions
19 Replies
2K Views
Hivi kwanini hawa jamaa hawajawahi kuwa na uzi mzuri hata kumshinda Azam FC? Kwanini wasifanye mpango wa kujifunza kwa wataalamu wa KIT kutoka Dar es Salaam Young Africans SC? Maana walitengeneza...
4 Reactions
42 Replies
7K Views
Habari wanaJF, Klabu ya Simba inajinasibu kwa kuzindua Logo au Nembo yao Mpya lakini kama ni ukifuatilia wamecopy na kupaste kutoka kwa wengine. Je hii haiwezi kuwaletea shida kwa janja janja hii?
4 Reactions
64 Replies
11K Views
Habari wakuu Najua kuna watu wanamatumain makubwa sanaa na liverpool, huku wakijihakikishia kubeba epl na uefa Nasikitika kuwatangazia kuwa Kwa gundu alilonalo klop, hatoweza kubeba kombe hata...
3 Reactions
65 Replies
7K Views
Timu ambayo imefungwa mechi moja tuu E.P.L na inaongoza kwa tofauti ya pointi zaidi ya 20 inapigwa nje na ndani na timu iliyopo nafasi ya 6 La Liga. Leo ndio mtajua kuwa huwa mnakaririshwa kuwa...
3 Reactions
60 Replies
5K Views
Miezi kama si Miwili hivi nyuma nakumbuka kupitia Redio hiyo hiyo ya Wasafi FM ( japo Video yake ipo na ilienea pia ) Mmoja wa Mwana Yanga SC anayejifanya ana Hela na anataka Kushindana na Mo...
7 Reactions
46 Replies
7K Views
Team Messi Vs Team Ronaldo tumalize ubishi hapa who's the G.O.A.T lets go by statistics... Ronaldo timu yake haipo tena UEFA Ila Messi kabakia... Je Messi ataweza kuikoa Barcelona dhidi ya...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Kutoka UK mpaka Kwa MAFARAO Klabu ya Pyramids ya nchini Misri inatarajia kumsajili nahodha wa timu ya taifa ya Misri, chini ya miaka 23, Ramadan Sobsi kwa mkataba wa miaka mitatu kutoka...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Assalam alaikum! Bwana Yesu Asifiwe! To Yesu Kristo! Nina mshukuru Mungu kwa kunipa Pumzi ya uhai na nafasi ya kuandika ushauri wangu, kwa Taifa langu pendwa Tanzania! Nakupenda sana Tanzania...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Barcelona have been offered the chance to sign Cristiano Ronaldo from Juventus Cristiano Ronaldo's time with Juventus could be coming to an end this summer. According to Spanish football expert...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Maoni ya Pep Guardiola juu ya Cristiano Ronaldo kushinda taji la EPL, La Liga na serie A: "Hakuna cha kushangaza juu ya hilo, Danilo alishinda EPL na sisi (Manchester), Kashinda la liga na Madrid...
17 Reactions
103 Replies
9K Views
Kwanza kabisa mimi ni mshabiki wa Simba nakiri hili lakini hapa sitachambua kama mshabiki wa Simba bali Kama mshabiki wa Soka.Kwa Hili sakata linaloendelea naona kabisa BM hatachomoka kwenye Hili...
7 Reactions
125 Replies
13K Views
Tukio la Simba kumchukua Morrison kimafia ni tukio ambalo litanichukua miaka mingi kufutika. Nimeumia kuliko ambavyo ningeumia kama ngeibiwa ng'ombe zangu. Sasa Yanga tunaanza maandalizi ya...
7 Reactions
6 Replies
2K Views
Shabiki maarufu wa Yanga, Ally Yanga amefariki dunia kwa ajali ya gari eneo la Chipogolo- Mpwapwa. Mwanachama Maarufu wa Yanga ,Ally Yanga amefariki muda huu kwa ajali ya gari alikuwa katika Mbio...
3 Reactions
136 Replies
76K Views
UONGOZI wa Simba umesema kuwa kuanzia kesho Ijumaa, Agosti 14 utaanza kutambulisha wachezaji wapya ambao umemalizana nao kwa ajili ya msimu wa 2020/21 pamoja na kutambulisha uzi mpya...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Baada ya vikao nenda rudi kwa siku takribani 3 hatimaye TFF wamejitokeza na kusema kuwa wamefikia uamuzi baada ya vikao vizito Mchezaji raia wa Ghana, Bernard Morrison amepewa uhuru wa kujiunga...
5 Reactions
185 Replies
22K Views
Juzi na jana nimesikia Yanga na GSM wako ktk hatua za mwisho kumtambulisha kocha msaidizi. Ni hatua nzuri kuelekea maboresho ya benchi la ufundi. Lakini umakini mkubwa unatakiwa ili yasitokee tena...
11 Reactions
47 Replies
5K Views
Kuna wakati inabidi tuachane na ushabiki wa wa hizi timu za kariakoo na kukosoa bila ushabiki Kinachoendelea ni ushamba Na hakipaswi kabisa kushabikiwa. Simba kujaribu kumchukua Morrison ni...
18 Reactions
51 Replies
4K Views
Wapendwa tunaopenda mpira hivi hii hali ya Messi na Ronaldo siku wakachezea timu moja inakuaje hapo? Wote kuutafuta ubingwa wa mchezaji bora au mfungaji bora katika timu moja? Watashindana kama...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…