Waarabu sio watu wa mchezo, itachukua muda sana kuwafikia. Sasa wanasajili wachezaji kutoka UK

Ituzaingo Argentina

JF-Expert Member
Jun 20, 2020
1,870
2,176
Kutoka UK mpaka Kwa MAFARAO

Klabu ya Pyramids ya nchini Misri inatarajia kumsajili nahodha wa timu ya taifa ya Misri, chini ya miaka 23, Ramadan Sobsi kwa mkataba wa miaka mitatu kutoka Huddersfield Town ya Uingereza kwa dau la Dola milioni 5 (Bilioni 11.620 Tshs)

Mkataba wa mkopo wa Sobhi ndani ya klabu ya Al Ahly umefikia tamati.

Screenshot_20200814-143731_Instagram.jpg
 
Kutoka UK mpaka Kwa MAFARAO

Klabu ya Pyramids ya nchini Misri inatarajia kumsajili nahodha wa timu ya taifa ya Misri, chini ya miaka 23, Ramadan Sobsi kwa mkataba wa miaka mitatu kutoka Huddersfield Town ya Uingereza kwa dau la Dola milioni 5 (Bilioni 11.620 Tshs)

Mkataba wa mkopo wa Sobhi ndani ya klabu ya Al Ahly umefikia tamati.

Hii timu pamoja na Girona ni miongoni mwa branch za matajiri wa Man city, kwa hiyo siyo kitu cha ajabu kusajili mchezaji kwa €3+M.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom